Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Apple Laptop MacBook Pro Retina Display Inauzwa 13 inch Processor 2.7 GHZ Dual Core Intel Core i5 RAM 8GB 1867 MHZ DDR3 Graphics Intel Iris Graphics 6100 1536 MB. Mbezi, Dar es Salaam Bei...
1 Reactions
7 Replies
825 Views
Nahitaji karanga kavu zenye maganda. Nipo Dar. Kwa mwenye nazo au mwenye kujuana na mwenye nazo popote alipo ani PM
0 Reactions
5 Replies
652 Views
Jamani natafuta maduka yanayoweza kuuza ingredients za kutengeneza wine. Kwa kifupi kuna ingredient naitafuta inaitwa CAMPDEN. Nimeshasumbua kichwa kutafuta mpaka nimechoka. Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
🌳 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE _________________________________ #Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) . 🌳 Mladi wenye...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp...
2 Reactions
61 Replies
15K Views
Kuna ombwe la mafundi kutekeleza kwa uhaba kazi uejzi wa nyumba za wadau mbalimbali ,hii Ni pamoja na uaminifu wa mali za wateja zinakuwa mashakani kwa asilimia kubwa. Sasa suluhisho ni Uvimo...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Samsung Galaxy A54 5G Inauzwa imetumika mwezi moja, Haina shida yeyote, Ina warrant ya miaka miwili. Hizi ni baadhi ya specs zake. Reased 2023, March 24 202g, 8.2mm thickness Android 13, One UI...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda. N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja...
7 Reactions
3K Replies
302K Views
Nauza gari yangu, aina ya Toyota IST, Cc 1200, yani mafuta kidogo umbali mwingi, Gari ni nzuri sana, nimeitunza vizuri sana, bei naanzia 8.8M, maongezi kidogo yapo. Gari ipo Mwanza, ni cheki kwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Tunafanya Darizi (Embroidery) na DTF Printing za. 1. T.shirts 2. Shirts 3. Kofia 4. Sweta 5. Miamvuli (Umbrella) 6. Nembo za Shule. Karibuni sana. Shule Taasisi Kampuni Vyama Watu Binafsi pia...
5 Reactions
84 Replies
3K Views
Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni nipo Dar es salaam nauza Rim paper size ya A4 gm 80 kwa bei ya sh.55,000 kwa kila carton mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu kwa maelezo zaidi nicheki 0789386320. Karibuni.
0 Reactions
13 Replies
931 Views
Habari wana jf nahitaji vifungashio vya kuwekea mafuta ya kupaka mgando vikiwa na uwezo wa kutosha kuweka 500gm kilo 1 na kuendelea
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Tunatoa mikopo ya magari ya usafirishaji kama vile tractor head&trailler, dumper truck, magari ya kusafirisha abiria kama vile mabasi, vifaa vya ujenzi kama vile excavetor, dozer, wheel loader...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Hamjambo wakuu. Natafuta kipartition cha alminium kwaajili ya uwakala. Kama kuna mwanajamii forum anaeuza aniPM. Location nipo moshi Mfano wake ni hapo chini [emoji116] NB: bei hatitoshindwana.
0 Reactions
7 Replies
744 Views
Nyanya Mbichi nitafutie mteja nauza kiwanja kipo kiluvya madukani ukubwa 46*36 bei 8m. Mawasiliano njoo pm
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Back
Top Bottom