Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kijana aliyemaliza form six (fresh from School) anafundisha VIZURI sana. TUITION TUITION TUITION ADVANCED LEVEL FORM V&VI SOMO: ADVANCED MATHEMATICS MLETE MWANAO NA HUTAJUTIA MAHALI: KITUO CHA...
1 Reactions
2 Replies
957 Views
Bedside size 4×6 Rangi zilizopo ni kijivu, ugoro, pink, nyeupe, samawati. Bei 35000 Material ni zuri sana, Kutoka Thailand na Uturuki Mawasiliano 0628935034
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop. Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa. Bei ni 40000tshs Nipo Dar derivery ipo...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Habari kwa wote, Kifaa hicho hapo chini pichani nakiitaji kwa yoyote alie nacho aje tuzungumze. Asante
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Habari zenu Ndugu zangu, Nahitaj Gimbal ambayo Naweza kuitumia kwenye sim ,Km kuna mtu anajua duka zinako Uzwa Tafadhari Anisaidie,Hasa kwa MWANZA, SHINYANGA NA KAHAMA
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Salaam, Natafuta gari aina ya Town Ace au Lite Ace box body (body iliyojengewa) ya kukodi. Nataka kukodisha moja kwa moja toka kwa mmiliki sio dereva. 0623014440 Niko Dar es Salaam
1 Reactions
7 Replies
854 Views
SAMSUNG NOTE 20 ULTRA INAUZWA. RAM 8GB+ROM 128 GB. IMETUMIKA MIEZI MINNE TU. BEI 350,000. NIPO DODOMA. +255687349020.
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ramani ya nyumba hii ina; -Vyumba vinne vya kulala Kimoja master,kingine self na viwili vya kawaida -sebule -jiko -store -dining -public toilet Ina ukubwa wa mita 17 kwa 13 Kwa mahitaji ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
A general commercial company in mining industry operating in mining areas in Tanzania with annual Turnover of 1.5 Billion and Debt to Asset Ratio of 0.6 and Annual Profit of 100 Million and...
2 Reactions
5 Replies
575 Views
Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Je unatafuta kifaa gani cha kielectronic kwa bei rafiki? Sisi tunavyo Kuna -majagi ya umeme -tv -sabufa & soundbars -rice cookers -friji -pasi -vikaango Nk.. Unahitaji kipi Wahtsapp/cont...
2 Reactions
10 Replies
802 Views
Nando technical company Watoa huduma za kisasa zaidi zenye gharama nafuu CCTV CAMERAS INSTALLATION ELECTRIC FENCE INSTALLATION ALARM SYSTEM SECURITY AIR CONDITION SUPPLY AND INSTALLATION FIRE...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Contact: 0747379399 Price: 60,000,000 (negotiable) Make: Toyota Model: Landcruiser Prado Model number: JTEBD9 Body type: Station wagon Colour: White Year of manufacturing: 2016 Engine...
1 Reactions
2 Replies
710 Views
Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Tupo kwenye Tent ya selous,tumekuletea bidhaa zetu mbali mbali kama mold za mikanda ya Gypsum,fiber boat na mikanda ya gypsum. WhatsApp +255653020784
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ewe mdau! UNATAFUTA HUDUMA YOYOTE YA KIBIASHARA? BASI UMEPATA. UNATAFUTA BIDHAA YOYOTE YA KIBIASHARA? BASI UMEPATA. UNAUZA BIDHAA AMA HUDUMA YOYOTE YA KIBIASHARA? BASI KIMENUNULIWA. JIUNGE NA...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu Nauza HP Pavilion x360 touch screen RAM: 8GB Hard Disk: 500 GB SATA Graphics card: Intel with Radeon Changamoto: Haikai na chaji, yaani ni direct ila inalekebishika Ina mpasuko...
0 Reactions
3 Replies
664 Views
Habari Wakuu. Nauza Laptop hapa, ni Toshiba halafu old model, imekufa betri na HDD haina ila inapiga kazi fresh ukiweka spare, chaja yake pia ipo. Nicheki 0654506090 au WhatsApp 0743546090. Karibu!
1 Reactions
11 Replies
731 Views
Mashine ipo vizuri na inapiga kazi vizuri nipo Uyole Mbeya Inatumia gesi Bei ni Milioni 1.5 0767750426
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Min Laptop emachines Inataka 150,000/= Haina kipengele chochote cha ufundi zaidi ya kutokaa na charge na adaptor yake nimeisahau mkoani, kariakoo charge yake inauzwa 15k na battery 20k Karibuni...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom