Shamba liko karibu na mto ruvu, kijiji cha Dutumi ktk wilaya ya kibaha vijijini., km 86 barabara ya lami kutokea dar mpaka vigwaza sheli. na km 30 barabara ya vumbi. shamba lina hati za selikari...
Toyota Hiace pichani inauzwa. Ina hali nzuri mno. Imesajiliwa mwezi huu barabara ya "Nyasaka - Mzunguko", Pia imelipiwa mapato hadi December
Reg T211 BRH
Adometer reading 51444
5L Engine...
Tupo Toangoma along Kigamboni Road .Tunashughulika na Electrical work, Aluminium profile na Metal fabrication.karibuni sana .mob.0719 418051 au 0719744806.
PEUGEOT 206 INAUZWA
Year: 2004
Mileage: 57000km
CC: 1600
Fuel: Petrol
Color: Green
Transmission: AT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni...
Husika na somo hapo juu nahitaji kiwanja Dodoma ambacho hakipo kwenye mkono wa CDA maeneo ya Nkuhungu,au mipango kwa chini wanaita Mbwanga ila kisiwe na mgogoro wa aina yeyote na kiwe kinalipiwa...
Wakuu habari za majukumu. Nauza gari Toyota Starlet, iko kwenye hali nzuri sana, kwa maana kwamba haijatumika tangu iagizwe toka Japan. Imetembea 124,881 km, engine capacity ni 1330 cc. ina seats...
Fiza kubwa linauzwa bei laki tano na nusu (550,000) lipo katika hali nzuri kabisa na linafanya kazi vizuri. Ambaye yupo tayari kulinunua nipigi kwa no hii 0758065919 tufanye biashara.
Je, upo Musoma popote? Si lazima sokoni au center. Ninahitaji kupata chumba chenye uwezo wa kuweka mahindi ya tani 12. Tafadhari kama unacho weka namba yako nikutafute. Au ni-PM
Chumba kiwe...
Unachopata / What you get:
Tempered screen protector
Wall charger
Original new white earphones
Hali / Phone condition:
Imetumika, hali nzuri / Used, good condition
The phone...
Kiwanja chenye ukubwa wa eneo la mita za mraba 1,514 kinauzwa milion kumi na mbili (12M).kiwanja kipo mbeya mjini eneo la isyesye,kimepimwa na kinalipiwa kodi kila mwaka na mwaka huu kimelipiwa...
Wadau nauza nyumba yenye vyumba vitatu(master mbili na single moja) ukumbi,store, jiko dinning room na choo cha jumla (public). ipo kigamboni maeneo ya dege
ipo tyar kwa kuezekwa.
mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.