Original Toshiba Sattelite C850 inauzwa kwa bei ya 475,000/= Tanzania Shillings Negotiable.
Imetumika Mwaka moja tu ila bado iko in a good condition.
Specification.
1. RAM 4GB
2. Hard disk 500 GB...
Viwanja vinauzwa goba mwisho Kulangwa. Kimoja kina ukubwa wa mita 17 kwa 17 bei shs milion 5.5 kingine kina mita 17 kwa 19 bei shs milioni 5.5 simu 0756595959/0715595956 Materu
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 !
Gharama za...
Nina samsung Tab 1 nahitaji kubadilishana na mtu mwenye Tecno N7 brand new au iwe imetumika kwa muda mfupi( si zaidi ya mwaka1)
Ambaye yupo tayari aniPM au anitxt kwa 0652884040
Viwanja vinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu St. Augustine. Cha kwanza ni 20x20 m² bei 3m. Cha pili Ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijajulikana kwa watu wengi maana bei...
Naomba mwenye uelewa mzuri na "jiji" la Dodoma anieleze wapi nitapeleka gari langu kufanya marekebisho kidogo ya Bodi ya gari langu dogo la kutembelea.
Si kwamba sizijui gereji, ila wapi wazoefu...
Habar zenu wana jf kama Kichwa kinavyojieleza nauza mashine ya maxmalipo inayotoa huduma za
>Kulipia bili mbalimbali luku ,dawasco
>malipo ya television
>kuuza airtime za mitandao yote MF...
Siku hizi haya mashati na suruali zimekuwa ni fashion kwa kina baba na vijana hasa kwenye send off bag part na shughuli nyinginezo za kiheshima.....napatikana sinza kumekucha karibu na kanisa la...
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.