Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu wanajamvi- jukwaa la Biashara na Uchumi. Naandaa andiko la mradi juu ya biashara ya kuprint maandishi , nenni na logo kwenye nguo.. Naomba msaada wenu juu ya , Aina za mashine na bei...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa ekari shamba tupu bei yake inarange laki 1 mpaka laki 2.5,utofauti huo wa bei ni kutokana na sifa za shamba,yanapatikana km 78 toka Iringa mjin ktk wilaya ya Kilolo kupitia barabara ya mkoa ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nilitengeneza toroli kwa lengo la kufanya biashara ndogondogo na kuepuka gharama za kodi za fremu ila kutokana na sababu fulani nikashindwa kulitumia.Ni kubwa na linaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kampuni ya kichina ya kuchimba kisima maeneo ya kigamboni kwa kuwa nimesikia wao bei zao ni nafuu kuliko wachimbaji wengine. Hivyo naomba kwa mwenye mawasiliano nao anipatie hapa. Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, nahitaji laptop used, hiwe core2dual, hdd 500gb Balance iliyopo ni 270000 top...kama unayo tufanye biashara
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Suzuki every station wagon nyeupe inapiga kazi haina tatizo nina shida ya haraka ya hela utatest ujiridhishe
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wajameni habari za jioni! Kama kichwa cha habari Kinavyoeleza, nahitaji speaker tajwa hapo juu na hasa zenye ukubwa kuanzia watt 6000 no kwa ajili ya kukodisha. Kama kuna mtu anazo anauza pm, na...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Simu ipo kwenye good condition n' its only 850,000/= 0785115999
0 Reactions
1 Replies
842 Views
This is a neoclassical style house because it has a full, high entry porch with columns .Near to the main entrance porch there is a large living room in which you can seat, relax and...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 ! Gharama za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kiko kata ya buswelu-ilemela,size ni 15 kwa 30..kimepimwa,bei 4mil,hamna dadali..ni pm for more info
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nokia N97 inauzwa bei maelewano, 0717400039
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Fursa ya kuwa mmiliki wa kampuni yenye kusambaza bidhaa za hewani za high tech pamoja na kupata kipato cha mtandao ipo hewani. Utapata hisa 10 baada ya kukamilisha mchakato wa kujiunga na utapata...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kama unahitaj fundi wa computer yako ina tatizo laptop au desktop au unahitaji website,blog na pia computer networking iwe internet cafe au office computer network system pia kwa wale wafanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
husika na kichwa ila isiwe nje ya moro town na isipungue inch 21
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari wakuu....nauza samsung galaxy premier (Gt-I9260) kwa walioko maeneo ya Moshi tu. ##bado mpyaa...nakupa na all tx accessories #bei ni laki 3 na 80..... (380,000) →kwa wanaohitaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nahitaji Suzuki Carry 2 ziwe katika hali nzuri ntanunua kila moja kwa milioni nne mwenye nazo ani PM.
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habari wana JF, niko mwanza nauza Nyumba Kwa mamlaka niliopewa na bank, Nyumba hii ipo nyamongolo jijini MWANZA huyu bwana nadaiwa milioni 37.thamani ya Nyumba hii ni milioni 130 imepimwa na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
American Technology Distribution Company (Cyberwealth Alliance Inc.) based in Las Vegas is partnering with people worldwide to help it spread the word about its high tech bullet proof patented...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Nauza simu aina ya HtC desire 300 na Samsung Galaxy S3 Mini, Htc desire 300 ni mpya iko complete na charger pamoja na headphone , Samsung Galaxy S3 Mini ina charger sio mpya lkn imetumika kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom