Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Je unahitaji shamba maeneo ya pwani?,kuna mashamba yaliyopimwa na yasiyopimwa yanauzwa kwa hizo bei",heka zaid ya 1400 zinauzwa zenye hati miliki pamoja na nyumba za wafanyakazi' pia ardhi tupu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari njema kwa madereva/wakazi wa Kigamboni, Karibuni sana katika egesho jipya la magari liliopo ferry karibu sana na Lutheran Church,mwendo wa dakika 5 hadi kivukoni kwa wale wanao epuka foleni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za humu wanajukwaa Nyumba inapangishwa,ipo maeneo ya tabata kiskulu..ina vyumba vitatu,kimoja masterbedroom,sitting room,dinning na store Kwa mawasiliano zaidi no.0784355363
0 Reactions
6 Replies
1K Views
moja ina pad zote mbili. 0717221590 humo tuongee!!!
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Natafuta office ya kushare kwa ajil ya kaz zangu binafsi, tafadhal kwa yeyote mwenye ofis au mwenye kumjua mtu anayeweza akanisaidia katika hili.. nahitaj sehem ndogo tu ya kuweka kit na meza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Hapo Juu Freezer ipo katika hali nzuri kabisa Imetumika miezi miwili tu, nzuri kwa Biashara na matumizi binafsi pia. Ina warrant...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iwe angala na processor ya i3 na kuendele, asus, lenovo, hp zitapewa kipaumbele, kama unayo na unauza njoo na offer yako.
0 Reactions
10 Replies
926 Views
Habari waheshimiwa ? Nauza laptop aina ya compac ina ram gm1 internal 150gb cd room kwa 350,000 tu nichek na 0654959797
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Wadau natafuta nyumba eneo la Mbagala chamanzi ,ukubwa na bei ni muhimu kuweka hapa ili nijue kama nina ubavu japo wa kupatana !
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Plot for sale. Iko mburahati barafu na ina nyumba mbili zenye bedroom mbili plus self contained master bedroom each. Pia kuna self contained guest house yenye bedroom moja, siting room na kitchen...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza iPhone5, ina 32GB memory na iko katika hali nzuri, kwa shilingi 550,000/= Kama uhaitaji ni-PM. Unaweza itazama hapa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina uhitaji wa Microwave oven inayotumia gas. Mwenye kujua bei na wapi niende anidokeze.
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Salaam..nauza kiwanja hapa Morogoro maeneo ya Kiyegeya B..kama mita 1000 tokea barabara ya lami ya mizani.Kiwanja kinaukubwa wa Ekari 5
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipo Iringa,natafuta line hiyo ambayo ni 100% kwenye miamala,bajeti yangu ni laki 1 tu,mwenye nayo njoo nichek tufanye bussiness
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ipo katika hali nzuri. Kila kitu kinafanya kazi kwa maelezo zaidi piga 0657113536
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Vipo vitatu , vipo ndani ya mradi vyote ni sqm 1500,vina title deed na offer vipo karibu na pspf estate site plan yake ndo kama inavoonekana kwenye picha. asking price ni 25million, maelewano...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Wakuu habari.. natafuta mahali apa dar wanapouza matairi mapya kutoka japan, thailand au US ya magari pa uhakika..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari yako! Tuna Company yetu ya interior designing tunashauri vitu vingi. Tunadesign nyumba yako inaonekana nzuri. Sio lazima kila sehem tupake rangi za art, sehem nyingine tunaweka wallpapers...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
A very nice executive house, good location, quite environment, having two lounges, four ensuite, nice garden, guest wing, situated12 Km - Distance from Ferry to kibada. call this number to make an...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau hasa wale wa Dsm,naomba kujuzwa kwa wale wanaojua ni wapi naweza pata huduma ya rangi za kupuliza rangi kwenye furniture kwa kutumia compressor hasa kwa maeneo ya Mbezi,Mwenge,Ubungo,mpaka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom