Nimekuja humu nahisi ntapata response ya haraka naitaji
hp envy,14 inch, slim,core i5 ,int mem 500gb, 4gb ram....
Mpya hiwe na box na receipt kabisa...mwenye kuweza kufakisha hilo afunguke...
Habari wakuu,
hp envy,14 inch, slim,core i5 ,int mem 500gb, 4gb ram....
Mpya hiwe na box na receipt kabisa...mwenye kuweza kufakisha hilo afunguke
Price yake tufanye biashara
Nimesikia na kuletewa hili na kuhakikisha nami nawasilisha,kuna chumba kinapangishwa maeneo ya magomeni mapipa,mtaa wa magomeni mwisho,karibu kabisa na kituo cha jangwani,bei ya chumba ni 40,000/=...
Kuna galaxy s3 nliyokuwa naitumia naiuza kwa 310 tu. Imetumika miezi sita na mimi mwenyewe nataka kuhamia kwenye s5 au window phone. Ingia gsm arena uone picha na specs ina 32gb na 2gb ram.
Wakuu kama unauza au unajua inapopatikana tafadhali tuwasiliane,.
Nipo Dar ila hata kama uko mkoani hakuna tatizo bado tutaweza kufanya Biashara!!
Karibu.
1. Lina ukubwa wa ekari 30 (hatua 70 x 70)
2. Linatambulika na uongozi wa kijiji cha Ulaya, Kilosa. Kutoka kijijini mpaka Kilosa mjini ni km 15.
3. Liko kando mwa barabara kuu ya kutoka Kilosa...
Tembea uone,
Leo nilipiga kwata pwani kijiji fulani kutafuta kuku aina ya kuchi. Baada ya kuona kuchi original hawapatikani mpaka kisiwani Juani mafia ikabidi nibadili mpango, nikaomba waniuzie...
Wadau natafuta nyumba ya kupanga kwa maeneo ya Riverside,Kibangu,Mabibo along Sum Nujoma Road,mpaka maeneo ya Tabata!nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sebule au chumba na sebule ila choo kiwe...
Habarini wana JF lEO Tarehe 01.10.2014 , ni Mwanzo wa mwezi wa Kumi na Wiki ya Kwanza katika Mwezi huu , Leo hali ya Mwanza baadhi ya maeneo mbalimbali kumekuwa na dalili ya Mvua na licha ya hivyo...
Dear Great thinkers,
In respect to the above subject, I hereby look for the serious business partners who are interested in modern grapes' farming at Buigiri village, Chamwino Ikulu area, just...
Nipo Dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.
Mwenye kuwa nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.