oya nna upande wa nyuma mzuri sana upo buguruni njia panda ya ghana maji umeme vinapatika stand ni dk 5 tu unafika naitaji wanafunzi 10 tu ni rahisi kufika udsm au duce kila mwanafunzi atalipia...
Green vision ltd is providing you with a high quality electric fence at better price of 18,000/= .Our contact:-0712435316www.greenvisionltd.wix.com/security
Topguide insurance agency ni sales representative wa Jubilee lnsurance ltd tunatoa huduma za bima za magari ya aina yote, afya,elimu,uwekezaji,na etc..
Wadau natafuta Language Translation Equipment ya kukodi ( English - French ), very urgently . Napatikana Dar es Salaam. Mwenye kujua chochote kuhusu ukodishaji wa System kama hizi naomba...
KUna mtu yeyote anajua wapi wale kuku dume (Majogoo) wanaofukuza watu na kuwadona wanapatikana ,sina uhakika kama mnawaelewa au wako baadhi kama mnaweza kuwajua,namkumbuka mmoja bonge la jogoo na...
Gari liwe linafika kwenye eneo bila tatizo kuwe na umeme na maji ikiwezekana kiwe karibu na barabara kuu yaani kisiwe ndanindani sana. nitumie sms, kumbuka kuwa na taarifa za bei ya eneo hilo pia...
Wana jamvi,,natafuta muwekezaji au mnunuzi wa eneo la hekari 30 lipo Chanika.Eneo limepimwa na linamilikiwa kihali,lipo jirani na barabara karibu na soko la Chanika..!
Jambo wakuu,
Nakuja kwenu na ombi langu bila shaka kwa wrnye kuweza watanisaidia.
Nimehamia sumbawanga kimajukumu, hivyo basi ninatafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu.
Ni imani...
Laptop hp ina windows 7,1.73 proccesor,1gb ram,hdd 60gb.bei 200,000.battery haidumu chaji ivo kama unataka kwa ajili ya matumizi ya nje unabadilisha battery.pga 0753377317
Simu tajwa hapo juu inauzwa bei 350000 internal gb yake ni 32gb imetumika miezi sita haina tatizo lolote, nimepewa sijaipenda specs zake kwa undani ingia google. Nipo dodoma k
Hallo.
Ndo kwanza nmeanza maisha. Nnaomba kwa yoyote ambaye mwenye Mtungi wa Oryx na hautumii kabisa, basi naomba tufanye biashara.
Badger yangu ni :-
Tsh:- 40,000/- Cash.
Deal done
Eneo lipo karibu na shule ya msingi na sekondary kisauke madale
Ukubwa wa eneo ni 45 x 25m
Kuna nyumba mbili moja ni ya zamani na nyingine haijakamilika
Umbali ni 500m toka stand ya basi kisauke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.