Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
kama utahitaji fundi umeme ktk masuala yote ya umeme...nipo Dar es salaam....nipigie nitakuja ulipo...0713 190 118
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari gani wandugu! Natafuta mtaalamu wa kunisaidia kuframe digital passport size katika vipimo ambavyo vinakidhi matakwa ya green card lottery 2016. Natanguliza shukrani za dhati wandugu!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jipatie Bata Bukini wenye Rangi nyeupe ya kupendeza kwa bei nafuu ya shilingi 250,000/= tu za kitanzania,pia majike ya mabata hayo yanaendelea kutaga. kwa mawasiliano piga namba zifuatazo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
km unayo tiririka na bei kabisa hapahapa nipo moro town
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar wanaJF Naombeni mtu anayeuza Ps3 iliyo na Gb 500 - 350 npo tayar kufanya nae Biashara. Na iwe na 2 contollers
0 Reactions
0 Replies
626 Views
4s 64Gb on sale 270,000. Network Locked. Usable with WiFi. Great Condition. Interested PM me! Thanks.
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Viwanja vinauzwa Goba Mwisho Kulangwa/Uzaramoni Kimoja kina ukubwa wa mita 17 kwa 17 bei yake ni Tsh Million 5 Kingine kina ukubwa wa mita 17 kwa 19 bei yake ni Tsh million piga simu...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Complete with all accessories... From UK ....600000 water proof.ATTACH]189998[/ATTACH]
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo….. 1 km kutoka barabara ya lami iandayo Kimbiji. Huduma za jamii kama maji na umemevipo. KImepakana na mto Nguva wenye maji. Pia lina mikorosho. Tafadhali kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
MstahikiMeya Toyota crown 3.0l - V6 Year - 2004 No problem at all.. Price:21 milion Mawasiliano zaidi piga simu # +255 786242495
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Engine cc4200 lakin nzima sana isiyohitaji marekebisho. 0764800989 sms, call au whatsapp. Picha na bei muhimu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa karbun mpate viatu na handbag za mitumba ya ukwel tunapatkana dar wa dar unaletewa ulipo wa mkoan unatumiwa popote ulpo kwa pcha zaid plz to follow page yetu instagram "VIATU NA HANDBAG...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 70x50ft kinauzwa bamia chamazi. Bei 4.5ml mnunuzi tuwasiliane ktk 0719077350.
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Natafuta starlet ya milion 2 automatic ya kununua, kwa aliyenayo anijulishe 0716 002323
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hp laptop with window 7,1 gb ram,60 gb hdd,offer tsh 200,000 .0753377317 Battery tu ndio tatzo,ina chaji yake
0 Reactions
2 Replies
710 Views
TANGAZO WAHITAJI WA BUSTANI ZA MAUA MAJUMBANI N.K ZA DESIGN AINA ZOTE NA UPANDAJI WA MAUA NA MAJANI NA MICHOLO MBALI-MBALI,NA KUJENGEA MICHOLO YA KISASA YA BUSTANI .Landscaping, SWIMING POOL.Tiles...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Ninahitaji kupanga nyumba isiyozidi 80,000 kwa mwezi au chumba na sebule, maeneo ya Kawe, tangi bovu, mwenge,sinza survey, ubungo, tegeta,mlalakua,kinondoni, magomeni, chang'ombe, kimara. nitafute...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale mnaohitaji viwanja vya 20 kwa 20 nimegawa eneo langu na ninauza kama nilivyoonesha.eneo halipo mbali na kinapojengwa Chuo kikuu cha muhimbili eneo la mloganzila.hakuna dalali,wasiliana...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
iwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii nitashukuru sana wajameni
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Wanajamvi, Rejea somo la habari hapo juu. Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 10 kwa milioni 10 tu. Lina hati ya kijiji, lipo maeneo ya chamwino Ikulu, karibu kabisa na barabara iendayo Dsm...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom