Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
viwanja vinauzwa Mbweni. vipo vitatu, cha kwanza kina ukubwa wa sqm 1500 Bei yake Tshs Milioni 70, cha pili kina ukubwa wa sqm 850 bei yake Tsh Milioni 60 na cha tatu kina ukubwa wa sqm 1300 kipo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
hii inawahusu watu wazima wanaorudia mitihani Unaweza kufundishwa kwa kufuatwa nyumbani kwako au we mwenyewe kuja kituoni kwetu mara baada ya kumaliza kazi zako Maelezo zaidi 0754 895 321
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Sasa Ukiwa Ukanda wa Barabara ya Kuelekea Airport - Mwanza Waweza fika Ofisini Kwetu hapa Kona ya Bwiru na ukaweka Booking yako kwa mabasi yanayoelekea DAR - MWANZA au MWANZA - MOSHI Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
ipo kwenye hali nzuri,Ina Nokia social, what's up,email na Application nyinginezo,Internet ya High speed,Rangi yake ni grey kama inavyoonekana kwenye picha. Tuwasiliane kwenye 0763263740 au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BlackBerry Bold 9900 inauzwa. Nipo Dar es salaam. Condition ni used. Bei ni shilingi 160000 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mwenye kuhitaji line ya tigo pesa kwa tsh.450,000/: bei ya promotion, ani pm nipo dar.
1 Reactions
4 Replies
915 Views
kiwanja kilichopimwa kinauzwa kipo ununio ukubwa sq mt 2500 bei mil 200 Tsh mazungumzo yapo PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu, Kiwanja kinauzwa kipo mbezi luis mita chache kutoka stend ya daladala, kinaukubwa wa mita 25x30 umeme na maji vyote vinapatikana. Bei milioni kumi na nne. kwa mawasiliano zaidi piga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
viwanja vipo viwili. Kimoja kina upana wa 35 na urefu pia ni 35. Bei milion 7. Kingine kina urefu wa 20 na upana wa 10 ( panatosha kujenga vyumba vitatu na choo ) kinauzwa milion 2. Viwanja vilipo...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari wana jf Kiwanja na nyumba bado haijaisha imefika kwenye lenta nyumba ni yanvyumba vitatu Kinauzwa Kigamboni gezaulole bei mil 30 maongezi yapo kidogo kwa anayehitaji miungombinu yote ipo pm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF napenda kuwafahamisha kuwa nina mashine ya kisasa ya kufanya diagnosis kwenye magari. Ni mashine bora na ya kisasa kabisa. Inapima all european cars na japanese cars as well. Karibuni sana...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Kipo katika makazi ya watu maeneo ya Maji matitu mita chache kutoka main road ya kwenda Chamazi ni mil 15 urefu ni 120 kwa 59 ni tambarare
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Kwa atakae ipenda hii NOAH Tuwasiliane Kwa 0788752672 ipo mwanza na bei yake ni milioni 8.5 karibuni sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
smartphone tecno h5 nauza laki na 20, simu imetumika mwezi1tu haina tatizo lolote, nipo dar tuwasiliane 0715350793
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu, chumba cha kupanga maeneo tajwa hapo juu kinatafutwa sana na kwa haraka walio na taarifa au kama wanahusika tafadhar pm au namba 0764506509
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mtungi wa gesi ambao hauna kitu yaani empty.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji frem ya biashara zinazozunguka stand ya mabasi ya Moshi/Arusha au Stand ya mabasi makubwa yaendayo dar na singida
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana. phone: 0713343531
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CONTACT: +255 787 459 850 For Landscape design, Site plan design, Residential house design and Fence design at very reasonable price. You can see these panoramic views that i have already designed...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom