kiwanja kina ukubwa wa 40 kwa 30
kipo karibu na barabara umbali wa 500m toka barabara kuu ya wazo kwa kawawa ni karibu na shule ya sekondari kisauke madale
bei 12milioni
pia maongezi yapo
conts...
Getting an opportunity to try before we use...... is certainly a blessing before w make a purchase decision. We at Datasoft understand this need especially when our customers seek to 'Test our...
ukubwa wa kiwanja ni 45*25
kiwanja kina nyumba mbili moja ni nyumba ya zamani
na nyingine haijakamilika bado kupauwa tuu
kiwanja kipo karibu na shule ya sekondari kisauke umbali wa mita 500toka...
Jaman nauza gallaxy s4 mini yngu nimeitumia mwezi mmoja tshs.350,000 na pia nauza gallaxy s4 mini original mpya kwenye mabox yake kwa tshs.420,000 ninazo nyingi zakutosha kama una hitaji nitafute...
Wadau, kwa wale wenye ndugu zao watakaojiunga na Chuo Kikuu cha Iringa [zamani Tumaini University Iringa], kuna vyumba vichache vinapatikana umbali wa mita mia tatu [300 meters] kutoka Chuoni...
Viwanja vinauzwa vipo Goba Mwisho Uzaramoni/Kulangwa. kimoja kinaukubwa wa mita 17 kwa mita 17. Bei milion 5.5 na kingine kina ukubwa wa mita 17 kwa 19 bei milioni 5.5 simu 0756595959/...
Habari wana JF.
Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida ya makazi kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kama kuna yeyote anauza, au rafiki yake anauza au hata jirani anauza tafadhali naomba uni pm au...
Karibuni mnunue majogoo wa chotara wakubwa bei ni tsh 23,000 tu.
Wanafaay kwa mbegu, kwa kuliwa, wana supu nzuri.
Kwa wakazi wa dar utafikishiwa ulipo
Piga 0713694820 kwa oda.
Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.