Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba inauzwa tabata bima Ina eneo kubwa 100×80 ipo ktk sehemu zuri kwenye mtaa na kiwanja kimepimwa, Mil 160.
0 Reactions
0 Replies
954 Views
1. Survey along mlimani road or 2.Tabata Aroma or 3.Mbezi Tangi bovu hadi goigi. Msaada wenu wakuu, hata nikipata contact za madalali wa maeneo hayo nitashukuru..Thanks.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Hii gari ni vitz namba c bei yake ni milioni 7.5 bado mpya Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Habari wadau ninauza raum new model gari ni nzuri na bado mpya kabisa nipo arusha kwa yeyote anayehitaji anicheki kupitia namba 0718146734 Details zake ni Year: 2003 Cc 1496 Odometer: 64559 km...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nahitaji simu tajwa hapo juu haraka. Hela niliyo nayo ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia anicheki kama vipi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba ya kununua inahitajika budget ni 70 to 80 million mwisho iwe maeneo ya mwenge, survey, sinza, ubungo, kijitonyama na iwe na documents zote. Ahsanteni
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Used sony Xperia z1 tablet for sale kwa 750,000 tshs. The specifications are; 16GB internal memory with 2GB RAM, android 4.1.2(jelly bean), 8.1 MP camera with a long life camera. Watsapp au...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Wakuu urgently natafuta gari ya kununua iwe Toyota Prado au Toyota Surf..budget yangu ni mil 13 kwa Prado na mil.12 kwa Surf. Manual is more preferable, nipo Dar, Number yangu ni 0714010511
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natoa hii huduma kwa bei rahisi sana.....ukitaka factory unlock au software unlock vyote vinawezekana.Kuwa huru kunitafuta kwa 0763969066 au ni PM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, habari zenu? Naomba kujua ni wapi na ni kwa gharama kiasi gani na majibu yanapatikana ndani ya muda gani toka kupeleka sampuli (sample) ya maji kwa hapa Tanzania? Nahitaji nijue maji...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu! Shida yangu pad (controler )ya ps3 alienayo anichek 0774 308418 whatapp
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Hi, Lincoln office chair, Black, good look Minor scratches on the back and one side. With massaging capability ( Vibrates) 0715490570 Dar
0 Reactions
2 Replies
905 Views
alteza inauzwa bei ni 8500000 mwenye uhitaji # 0717545966
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Naomba msaada kujua ni kwa namna gani naweza kufanya manunuzi kwa kutumia ile App ya Kaymu.. Kuna bidhaa nimezilist nataka kuzinunua ila nashindwa jinsi ya kufanya malipo na pia...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
we will provide you with a two year warrant. You can also pay interms of installments. Mob:- 0712 435316. Be the first to get this offer.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mzazi wangu anauza kuku chotara,tetea 12,000 na jogoo 17,000.Kuku anafugia kibaha,mkikubaliana utafanyika utaratibu ili uletewe ubungo.Wastani uzito wa tetea ni kilo mbili kasoro mpaka mbili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta HP laptop used or new yenye screen display ya INCH 17 or above ni kwa ajili ya ofisi. Budget laki 500,000, plsease PM kama una hii laptop, inaweza kuwa pavillion, probook or g7
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Ninauza unga wa mahindi sembe@800-kg kwa bei ya jumla. 1000-kg kwa rejareja, pia dona iliyochanganywa na unga wa mihogo @900-kg kwa bei ya jumla. 1100-kg kwa bei ya rejareja, unga wa lishe wenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Natafuta Fundi wa Chainsaw Husquavana aliye Dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Htc one x mpyaa inauzwa pamoja na htc one v na saa ya Casio edifice.. Htc one x-290,000 Htc one v-180,000 Casio edifice watch-120,000
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Back
Top Bottom