benignusmulisa
Senior Member
- Feb 4, 2014
- 150
- 167
we will provide you with a two year warrant. You can also pay interms of installments. Mob:- 0712 435316. Be the first to get this offer.
we will provide you with a two year warrant. You can also pay interms of installments. Mob:- 0712 435316. Be the first to get this offer.
Thank you Mr. tunaapicha za kazi nyingi tulizo kwisha fanya. hizi za morocco, kinyerezi na bunju.Safi sana,
hebu weka hata Picha za kazi zako ulizokwisha fanya!
Bei zetu nipamoja na installation. Electric fence 18,000/= kwa meter. kama ukuta wako ni meter 150 inakuwa 150*18,000= 2.7million. CCTV Cameras sita 6 HD pamoja na flat screen 2.8 million. Sensor system with sms and mms alert 1.5 million. Auto-gate 2 million inaweza kufunguka kwa kutumia simu yako. kila extra sensor ni 30,000/= Green Vision Company ltd for quality security product mob: 0712435316Mkuu si uweke picha na price indication? Acha kufanya biashara ya ujanja ya kumpangia mtu bei kulingana na muonekano wake au sauti yake kwenye simu.
Weka bei hata kama sio bei halisi lakini basi ziwe zinatoa muelekeo wa bei halisi. I am interested with your products lakini nasita kupiga simu. Kwa nini unaficha bei?
Tiba
Bei zetu nipamoja na installation. Electric fence 18,000/= kwa meter. kama ukuta wako ni meter 150 inakuwa 150*18,000= 2.7million. CCTV Cameras sita 6 HD pamoja na flat screen 2.8 million. Sensor system with sms and mms alert 1.5 million. Auto-gate 2 million inaweza kufunguka kwa kutumia simu yako. kila extra sensor ni 30,000/= Green Vision Company ltd for quality security product mob: 0712435316
Thank you for the post. Nimeshaweka bei.Hili ni tatizo sugu humu JF...!kuna umuhimu tuombe Mods wawe wanaondoa mara matangazo ya namna hii yasiyo na bei.mambo ya kuambiana piga simu ndo ujue bei,ni kutukera tu,yaan ningelijua hujaweka bei nisingefungua hii thread yako!
Asee hii makitu ya electric fence nipo interested kupata quotation zake. Hebu sema bei zikoje na kwa dimension gani? Unauza kwa running meters au square meter? Weka info za kutosha hasa bei na wengine wafaidike.
kinondoni. Hananasif street near TX market. we do also have a branch in Mbweni and Kinyerezi. wewe uko wapi.? we can follow you and make installation for you without making any payment if you agree with our contract and terms of payment.But we always survey the area and take measurements for free.ofisi wapi?
Bei zetu nipamoja na installation. Electric fence 18,000/= kwa meter. kama ukuta wako ni meter 150 inakuwa 150*18,000= 2.7million. CCTV Cameras sita 6 HD pamoja na flat screen 2.8 million. Sensor system with sms and mms alert 1.5 million. Auto-gate 2 million inaweza kufunguka kwa kutumia simu yako. kila extra sensor ni 30,000/= Green Vision Company ltd for quality security product mob: 0712435316
umeme ukikatika?
mengi yanakuwa na manual option, ukilisukuma linaenda tu, provided kwamba liko unlocked kwa funguo (kama lock yake haina battery)[/QUOTE
Sorry swali langu lililenga zaidi kwenye hiyo fence ya umeme, pili mnayo website au blog kwa ajili ya kupitia bidhaa zenu?
Aiseee hii fense ni hatareeee watu wana chapaaaa
![]()