Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Kama kuna mtu aliyewahi kufungiwa kwa nzuri zaidi ya hii tunaomba mtujulishe ili tusije tukapigwa kwa wale na ss ambao ni mara yetu ya Kwanza.
Hiyo haina tatizo hatakidogo. auto-gate ni nzuri sana. Unaweza fanya malipo baada yetu sisi kumaliza kufunga pamoja na warrant ya miaka miwili. vilele zinaluusu system yafungua kwa kutumia simu yako ya mkononi.Mkuu asante sana kwa kutuwekea picha za kazi zako na bei yake. Mimi binafsi nitakutafuta. Lakini labda nisaidie kitu kimoja kwa mtu ambaye tayari ana gate, mnaweza kufungia machine ya kufunga na kufungua hili gate na remote zake?
Tafadhali nifahamishe.
Tiba
mengi yanakuwa na manual option, ukilisukuma linaenda tu, provided kwamba liko unlocked kwa funguo (kama lock yake haina battery)[/QUOTE
Sorry swali langu lililenga zaidi kwenye hiyo fence ya umeme, pili mnayo website au blog kwa ajili ya kupitia bidhaa zenu?
Mr. kuhusu electric fence umeme ukikatika mitambo yetu inakuwa na battery back-up inadumu masaa 6. electric fence zinatumia umeme mdogo sana lakini shock yake nikubwa sana. Same applies to auto-gate systems. web site wataalamu ndowapo wanaishugulikia. Ndani ya huu mwezi itakuwa tiyali. Green Vision Company Ltd with quality security products.
No mr the phone was on chargebut know am on line.MBONA UMEZIMA SIMU? Kumbuka mawasiliano ya kibiashara hayahitaji vikwazo!
No mr the phone was on chargebut know am on line.MBONA UMEZIMA SIMU? Kumbuka mawasiliano ya kibiashara hayahitaji vikwazo!
Kama kuna mtu aliyewahi kufungiwa kwa nzuri zaidi ya hii tunaomba mtujulishe ili tusije tukapigwa kwa wale na ss ambao ni mara yetu ya Kwanza.
Utapata mkuu nipigie nije kwako niisome nguvu yake nikuletee.Samahani kiongozi betri ya hii Hammer ya hii electric fence nitapata wapi. Ya kwangu imeisha kabisa. Au nifanyaje?
Utapata mkuu nipigie nije kwako niisome nguvu yake nikuletee.Samahani kiongozi betri ya hii Hammer ya hii electric fence nitapata wapi. Ya kwangu imeisha kabisa. Au nifanyaje?