Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza tv ya samsung led 23 inch, imetumika na iko kwenye hali nzuri sana. Bado iko ndani ya warranty ya samsung. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520. Napatikana ubungo kibo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta magari Yaliyopata ajali na kuuzwa na bima
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta simu aina ya Sony experia z.......ofa yangu ni shilingi laki 5.......iwe katika hali nzuri!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
707 Views
wadau nina mercury au zebaki inauzwa kwa bei cheee kama vp nipm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Htc one x 300,000/=Tshs fixed Accessories 0659223322 Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Ni 2km from main road kuelekea kigamboni, ukitokea kongowe kiko upande wa kushoto karibia viwanja vya kupimwa ni futi 70 kwa 170 kina tofali 5000 na kokoto trip 1 ya selela nauza vyote bei ni 17m...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipo sombetini,ina vyumba 12,inafaa sana kwa kupangisha.Maji na umeme tayari. Inafaa kwa kupangisha.Bei tsh 58,000,000/=.Mazungumzo yapo.Dalali hahitajiwi. simu 0757541456
0 Reactions
13 Replies
4K Views
I am looking for softwood makers of kitchen units, wardrobes, chest of drawers, sideboards etc preferably kiln dried.
0 Reactions
0 Replies
716 Views
chuo cha afya Tandabui kinawatangazia nafasi za masomo kwa ngazi ya Diploma na certificate kwa course za Clinical Assistance na Laboratory technicians. Chuo kipo jiji Mwanza. kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta wapi nitapata mtu/watu wanaotengeneza furniture za softwood. Interest yangu ipo kwenye kitchen units, milango za wardrobe, sideboards, chest of drawers etc preferably kiln dried.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za hapa jamvini wadau, Natafuta hostel nzuri hapa dar es salaam tafhali kwa anayejua hostel nzuri anijulishe!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
No negotiation...Only serious buyer. Ni pm.. Pesa inayopatikana ni kwaajili ya charity contribution
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau husika na kichwa cha habari halo juu Nina uza Rav 4 ipo Arusha nicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha watsap Year of Manufacture: 1999 5 doors Transmission: Automatic Engine: Cc...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari apo juu computer aina ya dell imetumika kwa wiki mbili tu naiuza coz nimepata laptop kwaiyo hii computer itakua aina kazi kwa mawasiliano 0656899091 au njoo pm
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Habari yenyu wadau... Nawafahamisha kwamba ninategemea kuvuna matikiti makubwa kwa madogo mwishoni mwa mwezi huu wa tisa 2014, na yatauzwa kulingana na ukubwa wa tikiti lenyewe. kwa atakae hitaji...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
kama unachoking'amuzi cha startimes au azam tv kilichotumika nitext 0655636903 na kiwe kinafanya kazi na detail zote sahihi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Nina Tshs milion 6 naweza pata wapi gari yenye economy ya mafuta.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta shamba au kiwanja cha laki 5 Dar au nje kidogo ya Dar
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Nyumba yenye vvvyumba vitatu ya kulala,chumba cha kupumzikia na chumba cha chakula inauzwa maeneo ya kimara mwisho,njia ya kwenda bonyokwa,opposite na Tanzania International university. Nyumba ina...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Natafuta tecno h7 kama kuna anauza aniuzie Najuwa zipo madukani ila gharama za dukani zinazdi uwezo.
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Back
Top Bottom