Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wapi mjini Dar naweza nunua 15.6 inches LCD HD Screen ya laptop kwa bei poa? Nina Asus X552e ambayo LCD ime-crack. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Haya hayaa, majuzi nilikuwa natafuta gar la milion 2 nikapata. leo nimerudi tena natafuta gari la milion 1.5 liwe automatic, tafadhali ukiwa nayo weka namba yako ya simu humu halaf nitakupigia!
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari! kama unapikipiki fekon, san lg or Tbetter na unaiuza fanya mawasiliano nami kupitia no 0754086882. Ubora ni sifa mhimu na bima pia mhimu! Bajeti ni 800k+
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji power bank aina ya buku kwa jumla ajuaye au aliye nazo tujuzane 0783380123
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Brown Shirima mwajiriwa katika Kampuni ya Bicmark Trading,iliyopo Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro. Leo ningependa Kufanya Markerting Huu Wa Bidhaa zetu Hasa kwa WaJasiriamali na...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ni Toyota vista Bei 4.5mil Ya mwaka 2002 Mawasiliano 0714010511
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Range Rovee Sports ya mwaka 2006 inauzwa, gari ipo kwenye gali nzuri sana na haina tatizo. Asking price ni 60M. Karibuni PM kwa mawasiliano zaidi. :
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natafuta memory card 8 gb kwa buku 10.Niko Arusha nicheki kwa no_0752437362 kama mtu anayo
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Nyumba ya chumba kimoja, sebule, choo, jiko viwe ndani. Iwe na tiles, iwe na uzio na parking, maji 24hrs na umeme eneo la Mikocheni, kijitonyama, sinza au mwenge. Tshs 150,000-250,000 PM
0 Reactions
0 Replies
765 Views
1.Ipo Tabata Kimanga-Kituo cha Basi 2.Inafanya kazi hata sasa 3.Average turnover (wastani wa mauzo) kwa siku ni kati ya Tshs 30,000 hadi 60,000/= 4.Kodi ya fremu ni Tshs 100,000/= kwa mwezi 5...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza samsung galaxy s4,ni clone bd mpya ,bei laki moja na nusu
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Nauza simu aina ya htc one m8 Specs :(mpya full box na vitu vyote vipo) Processor- 2.3Ghz Internal memory- 32GB External memory up to 128GB Water resistance Scratch resistance RAM 2GB...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza yeyote anayehitaji kuwekeza ktk misitu ekari kwa ekari wasiliana nami, ni Pm mambo yote tutawasiliana Wekeza kwa Manufaa ya kesho
0 Reactions
20 Replies
4K Views
simu ya Huawei Y600 inauzwa 230000 nipo mwanza imetumika wiki mbili tu kwa anayehitaj anitafute hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallow wana JF, Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar. Natanguliza Shukrani zangu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ukiwa interested whatsapp0653783552
0 Reactions
2 Replies
749 Views
  • Closed
Nahitaji kununua simu ya touch yenye uwezo wa kutumia whatsapp na budget yangu ni 60,000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu sifa zake ni; 3g network 256mb ram,512rom 3.5 mp camera os: v 2.3 gingerbread pia ina-support whatsapp,tango,viber,instagram etc. bei tsh.75000/- ila inapungua...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Back
Top Bottom