Mimi ni kijana mtanzania nimeajilawa na ninapokea....! mshahara., wangu kwa ajili ya uwekezaji katka ufungaji wa kondoo huko nyumbani mkoani mwanza..!
naomba mnisaidie watanzania hapo ulipo...
Kichwa cha maada chajieleza kwa anaehitaji ani pm haraka coz mnajua jinsi gani walivyo adimu. Napatikana kibaha pwani nawauza size ya kati 15000 na wakubwa 20000
Wakuu kuna landcruiser bj60 hii hapa chini iko katika hali nzuri sanaa zaid ya sana:-
Engine-3f
Colour-Black metallic
Odometer-95,000 km
Steering - LHS
4WD
year-1990
BEI: 10Mil
+255714478797
Wadau ninaomba msaada wa kupajua wapi panapouzwa kemikali za kuprintia (printing) mfano MESH WIRE, PHOTO-EMUSION & INK, jijini Dar es salaam.
Kama nitajuzwa na gharama zake nitashukuru.
ukubwa-vyumba viwili pamoja na choo
ukubwa wa kiwanja-ni mita 50 kwa 30
huduma-maji na umeme vinapatikana Maji ni ya kisima na sio mbali toka mjini hivyo access kwa huduma nyingine ni rahisi...
Wadau habari zenu, Napenda kuwataarifu kuwa tunauza vitu mbalimbali vya umeme kwa bei nafuu kabisa hata mtanzania wa hali ya chini anauwezo wa kununua .
Tunauza
1. TV flat screen mpya na used...
Kuna robo na nusu hekari,vipo 500m kutoka Bagamoyo Road.Vipo njiani yaani unatoka barabara ya mtaa na kuingia
kwako.Umeme na maji vipo jirani.
Bei ya robo ni 20m na nusu ni 50m.Bei imezingatia...
Natafta mtaalam wa kudisign card za haruc nzuri kwa bei nafuu,card ambazo ni nzuri kuanzia mpangilio wa colors na material used, pia natafta fundi mzur wa kushona nguo hata ukimuonyesha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.