Htc one m7 64Gb galaxy s4 mini and i phone 4
=========
Zinauzwa
Htc one m7 ina 64 Gb 650,000
Galaxy s4 mini 430,000
I phone 4 330,000
Zimetumika ndani ya mwez moja na zinakuja kwenye box
Kwa...
Ni viwanja vizuri sana na ni tambarare na huduma zipo yaani we ni kujenga tu na ni vya uhakika kabisa. Barabara kubwa mpaka kiwanjani Bei ni 6.8m
0713507487 / 0767507487 / 0782898210
Habari wana jf!
Samahani yeyote mwenye namba za simu au taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kukodi mkoa wa pwani naomba anijuze...
Waiting for your responses Great Thinkers...
Ndugu wana JF
Huu ndio msimu wa mvua za masika umeanza, kwa wale wakulima wa mananasi ukanda wa pwani hasa Rufiji na Mkuranga, mbegu za mananasi zinapatikana Rufiji karibu na Jaribu.kwa...
Mwenye kufahamu sehemu wanapouza mabegi mazuri ya laptop kwa hapa Dar naomba anielekeze. Nilishatembelea GAME iliyopo Mlimani City, mabegi waliyonayo sikuyapenda, na hata duka lililopo jirani na...
heshima kwenu wakuu,nauza laini yangu ya uwakala wa tigopesa kwa bei ya tshs.550,000/= ila bei inapungua,mie niko dar es salaam.Kwa aliye tayari nitafute 0654404707 kwa maelezo zaidi.
kwa wale ambao walishatumia bidhaa hii kwenye magari yao, pikipiki, magenerator, ninao mzigo na ninauza kwa promotion( punguzo kubwa)
anayehitaji nicheki kupitia 0653732909
tunauza tv flat led 42 inch sony bei 2m.
samsung 32 inch bei laki 7 na nusu guarantee 2yrs
mzigo umebaki kidogo wahi sasa ni bei ya promotion.
cont: 0753 505115, 0715 505115...
Camera Canon 550d used kwa miezi mitatu inauzwa kwa 1300000Tsh tuu!.. wahi kabla haijatoka unaweza kunipata kwa simu no 0764361843 kama utahitaji pic nitakutumia whatsupp"''
Jamani wana JF kuna laptop inauzwa bei nzuri sana, HDD 250gb, RAM 1gb, PROCESSOR DUO ni Compaq model mpya kabisa kwa bei ya maelewano.
mawasiliano ni 0764995336 Karibu
TUNA COLLECTION ZAIDI YA 250 ZA WALLPAPERS KUTOKA GERMAN,UKRAINE,ITALY KWA AJILI YA KUTA ZA NYUMBA -TUNAWATALAMU WA KUTOSHA AMBAO WANAWEZA KUJA KUCHUKUA VIPIMO VYA NYUMBA NZIMA NA WATAALAMU WA...
Nyumba inapangishwa ipo maeneo ya mwenge bei no lak tatu tu kwa mwezi. Kodi ya mwaka. Sifa zake ni nyumba kubwa ya familia, ina vyumba viwili kimoja wapo master pia ina store kubwa dinning room...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.