Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau gari hiyo hapo inauzwa iko poa sanaaa....bei ni 8.5 la maongezi yanaruhusiwa kwa walio serious. Napatikana dsm nichek kwa 0713 80 67 66.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
yoyote anaeuza mini laptop used ancheki..iwe hp, au samsung. Webcam sio lazima. ram ianzie 2GB, nataka kwa matumizi ya kuifadhi documents tu. bajeti yangu 220,000 alienayo ani pm namba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza SAMSUNG 32-Inch Bei:Tsh 500,000 . Kwa anayehitaji ani PM. ipo Kimara Dar. SPECIFICATIONS: Product LCD Audio Dolby Digital Plus / Dolby Pulse SRS TheaterSound Dts 2.0+Digital Out...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, natafuta saloon wanazofunga gele hapa Arusha kama maznat au glammadam wa Dar. Naomba msaada kwa anaefahamu.Asante.
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Mi natatizo katika simu yangu tecno p5 kioo cha nje na ndan kime pasuka naomba kujua hapo dar mafundi wana patikana sehemu gani na gharama zao
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf natumai hamjambo Nauza kiwanja changu kilichopo Kigamboni Kibugumo Daes salaam ni karibu na South Beach watu wamejenga umeme upo na gari inafika hadi katika kuwanja ukubwa ni upana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF. Simu aina ya Samsung Galaxy Note 3 (Clone/Copy) yenye sifa zifuatazo inauzwa. Internal memory16gb, Ram 3gb Camera ya nyuma13mp Camera ya mbele 2mp Rangi Nyeupe. NB: Simu ipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji frem ya kupangisha ya biashara maeneo yanayozunguka stand ya mabasi yanayoenda Dar na Moshi. no yangu 0765604750
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habar....kuna eneo lipo Kimara stop over...heka 2.5 kila heka mil.35 ni eneo zur.kama upo interested ni pm
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Kiwanja kipo Kivule ( Gongo la mboto ) Bei milion 8. Maelewano yapo. Tuwasiliane 0717369162
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji shamba la kununua ekari 2 sehemu yoyote ya Moshi Vijijini maeneo ya kibosho,
0 Reactions
0 Replies
820 Views
habar wana JF! Kwa yeyote ambaye ana uza ps2 nlikuwa nahtaji au kama unajua kuna mtu anayo na anaiuza plz ntafte kwa no. 0719 821362 napatkana dodoma.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wadau nipo Mwanza mjini, wapi naweza pata touch sreen ya hii simu. Simu ilidondoka na kioo kika-crack. Touch haifanyikazi kabisa. Hata hata kama inapatikana Dsm naweza agiza. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf Nauza kiwanja changu kipo Kigamboni mjimwema Kibugumo karibu na SOUTH BEACH Sikikubwa sana bei 25,000,000 kwa yeyote atakae hitaji anicontact 0718403409 Plot no.1293 pic...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzigo wa vifaa vya solar umeingia nchini kwa bei poa ya kumaliza mzigo fasta fasta toka Japan. Guarantee ipo kama tutakufungia sisi wenyewe site kwako, ukinunua tu bidhaa utapata warranty tu. Mali...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Year 2003 1.3L 67000km 9 million Great condition Full a/c Super music system Fairly used 0716398757 Serious buyers only
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Wakuu kama kuna mtu anauza battery original na brand new za Toahiba Sattelite c850 naomba aniambie bei pamoja na mahali anapopatikana
0 Reactions
0 Replies
649 Views
HABARI MJASILIAMALI. Nipo Iringa. Kama unauza au unajua sehemu ambayo wanauza POOL TABLE nzuri na imara naomba msaada wako wa kuniunganisha mawasiliano coz ninalihitaji sana kipindi hiki...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajamvi? Naomba kujuzwa juu ya taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kukodi mkoa wa pwani na kwingineko..mwenye taarifa au namba za simu naomba anijuze tafadhali...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nategemea kuleta mzigo wa viatu vya kiume kutoka state, ni dressing shoes ( moka) kwa wanaume. Bei ni dollar $120 flat. Ukichukua pair 3 na kuendelea bei ni $110. All price are in USD. Kama...
1 Reactions
52 Replies
17K Views
Back
Top Bottom