Habari Jf,
nina ipad 3rd generation used kidogo. Naina cratches.
SPECS:
White Colour
3G (Inaingiza Line) na WiFi
Internal memory ni 16 GB
Super nice condition
With Charger, Screen Guard na...
Natafuta smart phone mpya origina ambayo iko simple mkononi inakaa vizuri na pia iwe na uwezo mkubwa. Bei isizidi laki 3 na nusu ..kwa yoyote mwenye uzowefu wa smart phone na kuzijua vizuri...
Ninauza mashine ya photocopy ir2318 kwa Tsh. 1.5m. Nimeitumia kwa muda wa miezi sita, na haina tatizo la aina yoyeto, na wala haijawahi kusumbua tangu niitoe kwenye makaratasi.
Napatikana Arusha.
:flame:NIPIGIE NAMBA 0716 866 241 AU 0755 069 740.
UKUBWA WA PLOT......... MITA 30X27 BEI ........... 8MIL
PLOT IPO ENEO TAMBALARE BARABARA SAFI MPAKA KIWANJANI UMEME NA MAJI VIPO JIRANI NA...
Kutokana na changamoto mbali mbali za ajira..Mimi kama kijana wa kitanzania ikanibidi nifikirie nyia nyingi za kujikwamua na kupata kipato ambacho kitakuwa cha halili na kunisaidia kujikwamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.