Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini wakuu, Ninauza mixer mashine mpya kwa ajili ya bakery.ni mpya na haijatumika bei ni 1.5 mill mazungumzo yapo,ina uwezo wa kumix kg 20 ,ipo dar.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nahitaji hiyo kitu bei yake yard ikoje? Kama kuna mtu pia anaiuza ambayo ipo in very good condition naomba aniambie bei yake, na vipi yard bei zake? Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji kiwanja maeneo ya Kigamboni au Salasala. Ukubwa kuanzia 800sq.m na kuendelea mwenye nacho tuwasiliane.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vunja bei! Wauzaji cement ya nyati,diamond kwa bei ya jumla kokote ulipo ndani ya jiji hili la makamba. Bei 13000! Naukuletea mpaka mlangoni wewe unalipa gharama ya kushusha tu kuanzia mifuko...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tafadhali naomba kusaidiwa kwa anayefahamu garage au mahala wanapofanya repea nzuri/Panel beating ya body ya gari hapa dar; kwa gari iliyopata deep scratch and dents Nashukuru
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama upo dodoma na unahitaji laini ya m-pesa kwa bei nafuu tsh.200000 naomba uni pm nitakufuata ulipo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza simu aina ya LG GR 700 haina tatizo lolote bei ni tsh 70,000/: cont: 0753505115, 0715505115. email; mkumbata32@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba msaada wa taratibu za kukichapa na kukisajiri ili kupata haki miliki yangu kwa ajili ya kukiuza katika jamii.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Canon XL1 inatumia Dv pekee.Bei 500,000/=. Kwamaelezo zaidi tuwasiliane 0769 502020
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau salamu, natafuta chaja na mp3 player kwa ajili ya kutumia kwenye gari,nimekuwa nanunua hizi za barabarani zinakufa baada ya week tu. Mwenye kujua duka au anaeuza tafadhali nijulishe.,
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Jamani habar zenu??? Jaman wadada wenzangu nauza handbags of different brands like Gucci, MK & LV plz wadada wenzangu col me at 0683261365 ........ Popote ulipo Mzgo unakufikia
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Habari wana jamvi, nina viwanja vilivyopimwa nauza kwa bei ya tshs 6,500/= kwa mita ya mraba. Viwanja hivyo vipo kibaha msangani. Kwa maelezo zaidi nipigie 0755 939 001
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kibada kigamboni kina ukubwa wa 498 sq na chenye hati yake. Bei ni 14ml. kwa maelezo zaidi nipigie kwenye no hii 0719077350.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta kompyuta na PC yake used iliyo kwenye hali nzuri nina laki mbili.. Kwa waliotayari waweke picha halisi tutathmini... Tumalize biashara.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeamua kuwapunguzia machungu wanahisa wa nicol kwa kuanza kununua hisa zao kwa shs 120 kwani ndani ya mwaka huu kunauwezekano wa kampuni kufa kabisa
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nauza tecno p5 kwa sh 130,000/= imetumika tokea mwezi wa tano,ni pm kwa maelewano.......rangi nyeusi,unapata charger yake na earphone za philips.
0 Reactions
2 Replies
885 Views
1500cc 95200km Mwaka 2003 Price 13m Just arrived from Japan Mobil: 0687029376
0 Reactions
13 Replies
4K Views
habari wakuu ....ipo Samsung Galaxy s2 Original nauza 220, 000. kwa anaehitaji aniPM
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Wakuu naomba msaada kwa hili, Nimekuwa nikitumia Mitsubish Pajero GDI (siyo turbo cc 660) kwa muda wa miaka 2 sasa, Tatizo limejitokeza la kuzimazima kila mara,nimesha badili plugs na vitu vingi...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
ni pm tukubaliane hiyo printer
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Back
Top Bottom