Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wanajukwaa, Natumai sote bado tunaendelea kupambana na janga la corona kwa kuchukua tahadhari stahihiki zinazoshauriwa na wataalamu wa afya. TRY FAVOURABLE CLEANERS SERVICES. inatoa...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Nyumba zinapatikana Kitunda Karibu na shule ya secondary tumaini Apartment bado ni mpya kabisa. Huduma ya maji, umeme na usalama ni wa kutosha. ✓ apartments zipo 4 ✓ Kuna zenye...
0 Reactions
4 Replies
710 Views
Nahitaji crane ya kukodi kwa shughuli ya saa 3, yenye uwezo ya kumfikisha fundi ghorofa ya 5. Eneo la kazi ni Dar es Salaam mjini kati. 0684940080
2 Reactions
1 Replies
502 Views
tires used size 16 215/70 zote bauza kwa 220000 zipo nne used 8monts na gari toka japan straight zipo tabata call 0682060726 whatsapp 0739607003
1 Reactions
21 Replies
799 Views
Habari za asubuhi wakuu, Penye wengi pana mengi na penye mengi kuna njia nyingi. Naomba niokoeni ndugu yenu. Nina fuso yenye uwezo wa kubeba tani 10. Fuso ilikuwa nimepeleka kubeba mkaa mara...
5 Reactions
14 Replies
851 Views
Tunafunga zawadi za valentine msimu huu kwa bei poa kabisa, zawadi kwa yoyote umpendae. Tunapatikana Mwananyamala, Call 0674337422. Karibuni.
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Nauza sofa yangu ya spring 1.1M. Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131 \Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu,nahitaji kufanya biashara ya kuuza mikufu na hereni wanazoziitaga English gold,nahitaja Mwenye ujuzi Wa hii biashara anijuze ni wapi wanajumulia kwa bei nzur kwa huko...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo; NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Kwa masomo ya: Sanaa, Sayansi na biashara. Tupo Kinondoni Mwananyamala mkabala na mahakama. Kwa maelezo zaidi 0653 250 566 0754 895 321
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Attention Huduma ya free Wi-Fi installation bado IPO kwaajiri ya matumizi ya ofisini au nyumbani kwa mtandao wenye super kasi WA vodacom. Huduma zikiwemo free antenna, free wireless router, free...
3 Reactions
99 Replies
6K Views
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo tumbo kujaa gesi hilo ni tatizo linalotokana kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuna njia rahisi sana ya kusafisha na kuondoa sumu zote mwilini kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Vyet vya Suzana Ernest Mammba vmepotea Tar 26/7/2016 asubuh Vilidondoshwa kwenye daladala iliyokuwa inatoka mlandiz kwenda mawasiliano. Ni chet cha form 4, chet cha diploma ya udaktar na chet...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi ...
2 Reactions
7 Replies
496 Views
Nyumba kubwa sana Inapangishwa Mbagala kiburugwa ( Njia ya kwenda Kiwanda cha cement Camel) ipo barabarani kabisa 🟠Room 3 , 2 Master bedrooms 🟠 Jiko 🟠Public Toilet Ndani 🟠dining 🟠sittting...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Habari wanaJamvi, Nauza mashine yangu ya kukamua mbegu zenye mafuta. Ina uwezo wa kukamua alizeti, nyonyo, karanga, nk. Inatumia umeme wa 3 phase model ggzx-80. Technical details za mashine zipo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana...
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Natafuta hii T-con ya tv ya Sony inch 43 4k lakini inatumia kioo cha LG kwaiyo hii T-con ya kioo cha LG Nipo Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
405 Views
Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
0 Reactions
7 Replies
473 Views
Back
Top Bottom