Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta hii habati soda msaada anaejua niende wapi ili niipate hii habati soda
0 Reactions
44 Replies
23K Views
Habari Wana jukwaa Apartments ni mpya kabisa tayari zimekamilika Mahali: KITUNDA, ( tumaini) Ni seating room kubwa, chumba kikubwa na toilets Ina ✓maji ya kujitegemea ✓ full tiles ✓ umeme wa...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
KUKU NA UMUHIMU WA MAJI SAFII JEFF AGRICULTURE FARM tunakuletea NIPPLES zinazo fungwa kwenyee NDOO kwa jiri ya kukuu kunywa maji safiii na salama na kuepuka hasara ndogoo ndogoo na hii tumeleta...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Habari wakuu, Nahitaji kununua existing account ya platform tajwa hapo juu, kwa mwenye nayo naomba tufahamiane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natafuta fremu ya kuweka nguo maeneo ya Goba Center. Maeneo yawe yamechangamka wakuu. Kama unayo au naweza kuipata kupitia wewe tuwasiliane wakuu. 0734 187722 (WhatsApp)
1 Reactions
0 Replies
925 Views
Wakuu kama mada inavyosema naombeni Muongozo tafadhali bei za viwanja na heka .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Saa za rado ni 65,000 ni Original Pia saa za navigate jipatie kwa sh 60k Bila kusahau mashuka mazuri kutoka Uganda size 7×6 7×8, unapata mashuka mawili na foronya zake4, material: cotton, kwa sh...
9 Reactions
104 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu, Nauza Kabati la kuwekea Vitafunwa, Matunda au Chips. Pamoja na Jiko la kuchomea nyama ina ngazi mbili. Bei ya Kabati; Sh 150,000 Jiko; Sh 80,000 Eneo: Baruti, Ubungo.
1 Reactions
5 Replies
700 Views
Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha...
1 Reactions
2 Replies
665 Views
NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo...
1 Reactions
1 Replies
774 Views
I offer home TUITION services to secondary school students, Physics and Chemistry subjects at reasonable rates. This applies to Dar es salaam dwellers only. Call +255758517100 for further...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Duka linauzwa kwa bei ya Tsh 1.4m, lipo Dar, kwa mawasiliano zaidi piga 0676338052.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu waheshimiwa! Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nyumba ipo mbweni Jkt, vyumba 4 vyote self, na pia kuna nyumba ndogo kwa ajili ya wafanyakazi nk Nyumba bado ni mpya kabisa na ukinunua unakabidhiwa ikiwa imekamilika kila kitu Uwanja una ukubwa...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Tuna Upungufu wa Vijana Wa Masoko na Mauzo Ofisini Kwetu. Kama Unamjua Kijana Anayeweza Kufanya Masoko na Mauzo mpe Namba yangu 0742 744 363 Tunapatikana Mliman City, Dar Es Salaam.
0 Reactions
17 Replies
748 Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahiuhitaji wa vifaa mbalimbali kwa ajil8 ya biashara ya chips(viazi). Vifaa hivyo ni kama jiko liwe la rimu au maranda, kabati ya aluminium...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Nauza gari ambayo mteja anaipenda. Namwachia mteja achague aina ya gari, rangi yake, mwaka na bajeti yake. Kisha nitamretea gari hiyo. Kwa sasa ambazo wateja wamezitaja sana ni hizi hapa
0 Reactions
15 Replies
957 Views
Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom