Samsung Galaxy S4 - Sealed in its original box
Specification:
Display: 108.5 mm (4.3) Super AMOLED
Processor: Dual Krait 1.7GHz
Ram: 1.5GB
Camera: 8MP + 1.9MP Front
Battery capacity: 1900mAh...
Habari wadau;
Nipo Mwanza, kama ambavyo nimeandika hapo juu ni kwamba simu yangu tajwa imeharibika kioo, nimewekewa kipya lakini inaonekana ni feki, hakioneshi vizuri. Msaada wa jinsi ya kupata...
Nyumba inapangishwa maeneo ya oilcom ina sifa zifuatazo
>ina vyumba vitatu ambavyo moja ni self contained room na public toilet ilioko ndani
>kila chumba lina kabati lakuwekea nguo na vitu...
Habari za asubuhi ndugu zangu ofisi inapangishwa na ipo karibia na maeneo ya ubungo
Ina ubora ufuatao
1. Ina AC
2. Desktop Computer i
3. Meza kubwa,viti 3 na Executive Chair, makabati ya kuwekea...
wadau mwenye gari aina tajwa iwe ya nissan au toyota hilux kuanzia mwaka 1998 nzima na inayoendana na bei tajwa hapo juu njoo pm fasta tuyajenge. Ni kwaajili ya kubebea mizigo hivyo lazma iwe...
Wadau nina tv aina ya LG inch 24,hometheatre ya LG spika 4 mbili kubwa na mbili ndogo na king'amzi cha startimes......mwenye uhitaji ani PM,nipo dar es salaam
Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria. Tumesajiliwa kujishughulisha na mambo yafuatayo ambayo mengi kati ya hayo ni kwa kufanya kwa naiba ya wateja wetu.
Kutayarisha document za kiofisi kwa utaalamu...
Habari wanajamvi!nahitaji msaada wenu kwa anaefahamu bei za bidhaa ambazo hutumika kama nishati ya kuwashia moto badala ya kutumia mafuta ya taa hasa kwenye mkaa huwekwa juu yake kwa...
A PRIVATE TUTOR IS LOOKING FOR A JOB, HE CAN COME TO YOUR HOME/OFFICE IN DAR AND TEACH YOU HE TEACHES THE FOLLOWING: COMPUTER PROGRAMS: EXCEL, WORD, ACCESS, PUBLISHER, INTERNET, POWERPOINT...
Nataka nifanye finishing kwenye jiko langu na napendelea niweke Marble kitchen tops hasa zenye rangi nyeusi ya kung'aa.., nitapata wapi kwa hapa Dar na kwa bei nafuu..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.