wadau habari zenu, kuna samsung ace original na geuine inauzwa kwa tshs 150,000 za kitanazania
kwa wale wenye nia ya kweli, check me via 0652 329818
specifications zake ni hizi hapa
camera...
Ni Dell 5040 Ram ni 4 gb Hard disk ni 500 dvd writer, Wireless, screen 15.6 inch web calm Price ni 530000 Processor ni 2.1Ghz, 2.1Ghz Dual core kama unahitaji nicheki inbox..
NB:- zimebaki chache!!
Nahitaji kununua projector lakini brand nyingi sana sokoni, wenye ujuvi nazo naomba msaada ni projector gani nzuri na zinakopatikana. Nataka ikatumike kwenye nyumba ya ibada.
Salaam wapendwa.
Ninahitaji simu ya kununua iwe Samsung galaxy note3 au s4 au toleo jipya zaidi. Iwe original, inafanya kazi na iko katika hali nzuri na haijawa rooted na sio jail breaked...
WHY TRE.EN.EN?!
*******************
*Binadamu anahitaji kula kiwango kikubwa cha nafaka kamili, mazoez, matunda na mboga mboga, protein kidogo na sukari na mafuta viwe finyu kabisa lakini hali...
Natafuta fundi anayejua kushona nguo vizuri kwa ajili ya biashara. Ndugu zangu kama kuna fundi yoyote unayemjua anashona nguo vizuri naomba mnijulishe. Asenti sana.
Habari za majukumu waungwana,
Hongera kwa kumaliza mfungo kwa waislamu, nachukua fursa hii kuwaletea Carina S. I iliyo katika hali nzuri, bei yake ya kuulizia ni Tshs. 7.8million, mazungumzo...
Nina ndugu yangu ameniomba nimtafutie wateja wanaotaka Spea za gari USED kutoka Japan kupitia Dubai, duka lake lipo Ilala lindi na shauri moyo
limeandikwa LUSAKA USED SPEA PARTS 0657617671 au...
Nyumba inapangishwa ipo mbezi kwa msuguli kwa mawasiliano zaidi piga 0784822238.
status: 3 bed rooms 1 master self contained,fenced, full paving.
Kodi 350,000 per month
Katika dunia yenye kuhitaji uharaka na ufanisi katika kufanikisha mipango kadha wa kadha, kwakweli kunahitajika organised and legally acceptable organizations za kufanikisha mengi kati ya hayo...
habari wanajanvi, ktk kuhangaika uku na kule nimepata gari hizi zinauzwa kulingana na offer yangu,sasa sitaki kuingia mkenge ktk uimara wa gari na upatikanaji wa vipur,,kwanza kabisa ipi kati ya...
wadau ninauza Samsung galaxy s3 original na mpya kabisa kwa bei ya sh 460,000/= tu
Kwa wateja walio serious naomba mnicheki kwa namba hii 0716651695 zipo chache kwa anaehitaji. Asante...
Habari wakuu
Nna lumia 510 windows phone 7.8 na nna elf 50 (50,000/=) nahitaji exchange deal with android phone yenye at least 4" display!!
(hii lumia nayo ina 4" display na ipo kwenye hali...
Hello JF friends. Je, wewe ni msanii au au ingependa jifunza/ongeza uimbaji wako ktk level ya kistaa? unaweza nitafuta! Ninauza audio books/vitabu vya kukufundisha kuimba kwa bei nafuu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.