Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi...
Habari
Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo
Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina...
Kwa mahitaji ya vifaranga vya broiler wasiliana nasi. kampuni Mkuza, Organia, kibo ofisi zetu zipo banana ukonga vifaranga wetu ni wazuri na afya njema week 4 unaingiza sokoni kwa sasa bei ni...
Tank za lita 1000 zinauzwa. Zipo kwenye hali nzuri. Zipo zenye koki na zisizo na koki.
Bei 180,000/= (negotiable)
Njoo Godown, Temeke uchague.
Call/Whatsapp: +255 699 494650
Hello! Mambo vipi?
Je, unahitaji bidhaaa yoyote kutokea Dar es salaam na upo mbali?
Basi @nitume_popote wapo kwa ajili yako wewe tulia hapo ulipo kama boss, sisi tutakununulia, kukufungia na...
Habari wakuu,
Natupa wanhoo toyo kwa bei ya sh 1.7m only. lina tatizo la plate clutch tu, gear namba moja ina shida ila linaondokea gear number 2.
Nauza kwa kuwa naenda mkoani soon, nilikuwa...
Habari ya mchana?!
Natafuta Landlover kama nikivyosema kwenye kichwa cha habari. Serious seller anaweza post hapa picha na maelezo ya ziada pamoja na bei.
Naweza nisiwe mimi tu natafuta. Ukapata...
Printer Canon Multi Function3010 i- SENSYS 3 in 1 ( printing, Copy na scanning) black and white
Ideal kwa matumizi ya office, biashara na nyumbani.
Ipo katika hali nzuri
Bei 250,000
Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji...
Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia.
Imebaki RUMION. Dereva unapewa...
A 2000 ROJECTOR
Ina uwezo wa inch 24 hadi 80 .
Mwanga wa kutosha kuonyesha picha angavu ..
Inatumia HDMI cable , Flash Drive, Headphones,
AV in ,
Inthe package :-
HDMI, STAND , REMOTE...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo:
(1) Mbezi Beach, Tangi Bovu, Going, Goba ya Mwanzoni ikitokea Bagamoyo Road Kibao cha shule, Makonde, Jogoo, Africana, Kilongawima.
Contacts 0714000068.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.