Type
3 Axles 40 CBM Rear Tipper Semi trailer
Total size
10500x2500x3700mm
Loading capacity CBM
40
Tare weight kg
13000
Specification
Main Beam
Heavy duty and extra durability designed...
Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa.
89661-52F50
J2
IST New model
Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard...
Tunatoa offer ya Misumari kwa kuanzia bati 80
Tunatoa offer ya Usafiri @ Kuanzia bati 80.
Tupigie 0762 75 31 40
Whatsapp 0762 75 31 40
KARIBU TUKUHUDUMIE.
**********
Migongo midogo ni Tsh...
Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana...
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili...
Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;-
✓ Umiliki wa ardhi na majengo.
✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Njia...
Heshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza...
Karibu kwa ujenzi Imara wa nyumba.
Tunajenga majengo ya kawaida na ghorofa.
Tunafanya ukarabati wa majengo yaliyo chakaa.
Tunafanya ujenzi wa mfumo wa kisasa wa majitaka usiojaa.
Bei zetu ni...
Habari wadau WA JF
Naomba anaejua connection ya Mifuko hii inapopatikana kwa wingi. Popote pale nitaifuata mwenyewe. Naomba mnitajie na bei yake.
Nahitaji kwa bei ya jumla. Mifuko hii huwa...
Habari
Kama kichwa kinavyosema hapo kuna Sub Woofer aina ya Sea Piano ipo sokoni nipo Mwanza kwa anahitaji njoo PM bei ni 150k ni mpya
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎
cc zake ni kubwa, 150 cc
Gear 5
Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu
bei elekezi: 1,400,000 tu
inapatikana: SUMVE MWANZA
Wakuu habari za majukumu? Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya maisha ya kila siku. Kutokana na changamoto ya janga la Korona hivyo inatupasa kujikita zaidi katika "digital marketing" and...
Brand New JBL Charge 5 For Sale
Wireless Bluetooth Audio Streaming
Pair up to Two Mobile Devices at Once
Dual Passive Bass Radiators
Rechargeable Lithium-Polymer Battery
USB Type-C Device...
Gari bado ipo kwenye hali nzuri saana na haina kipengele chochote wala haijawahi kurudiwa rangi bei milioni sita na laki tano 65000000 Toyota Raum old Model eng number EXZ 10 00 70846 +255625977427
[emoji91] Kama unayo gari unauza nichek kwa 0713415537
1) Naomba Prado Diamond (Prado TX 120) kuanzia no C, engine iwe 2tr tuu, budget 20M
2) Naomba Rumion kali isiyorudiwa rangi No D za mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.