Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Niliweka tangazo langu apa lakin gari nyingi nazoletewa sijakubaliana nazo,ivo naongeza dau mil 5 nipe sport car like celica,nakuendelea lakin napendelea sana gari manual,,tuma picha whatasapp...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Vinauzwa mita 22x20 million 4.5, mita 22x27 million 6 viko 1km kutoka barabara ya morogoro Umeme upo,na maji. Kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza Ardhi Eka5, Lipo Km 15 Toka Manispaa Ya Mtwara Mikindani Mji Unaokua Kwa Kasi Ya Ajabu Ya Kiuchumi Kutokana Na Rasilimali Gesi, Na Matumizi Ya Bandari, Eneo Lipo Kata Ya Mbawala Barabara Kuu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza bata (Madume), Bei ni Sh. 15,000-18,000. Kwa atakayehitaji anitafute kwa namba hii. 0753249862. Napatikana mbezi ya kimara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa kuhusu ununuzi wa magari yaliyoko yard hapa dar! mfano model:spacio y.o.m 2003 C&F 3900. Je unapaswa kulipa gharama zipi ili kukamilisha ununuzi zikiwemo na usajili? Nawasilisha! .
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye hyo simu iwe nyeupe... Anichek 0767879784 tufanye business.
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=
0 Reactions
3 Replies
2K Views
S3 min used one week for sale,, 290k, for more info. My no. 0769 038 065
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Tunauza maboksi makubwa ya mbao yenye handles imara, haya yalikuja yakiwa na pikipiki ndani toka japan, hivyo ni fumigated na imara kabisa kwa matumizi mbali mbali. Bei ni 10,000/- kwa moja. Bei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza machine ya Selcom kwa tsh 700,000 baada ya biashara yangu kuwa ngumu nimeamua kuuza vifaa vyangu ikiwepo hii machine, kwa atakayeitaji Ni PM tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam. Nyumba ya vyumba 3, sitting, dining, vyoo ndani na stoo bado haijaezekwa, nauza kwa shs milioni 18 tu. Iko ktk kiwanja cha 70*63. Mita kama 200 toka main road, nguzo ya umeme ipo mita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninahitaji chumba maeneo ya kuanzia ubungo hadi kimara au njia ya tegeta kuanzia tangi bovu mpaka tegeta. Asanteni nahitaji kuhamia mwanzo wa mwezi wa nane kama itawezekana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba kwa picha ipo bunju yauzwa 90 mil
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ipo maeneo ya mabibo hostel dar,bei maelewano,ipo vizuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Genuine leather upper made in USA 10m 10061 94 34 langi nyeupe kam inavyo onekana kwenye pic kipo temeke dar es salaam bei 85 elf cm 0712690760
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Iko katika hali nzuri sana in hizi wanaita copy au clone mtaani wanaziita mchina japo ni made in Korea , Lila kit sawa na original kasoro quality ya camera na memory
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha habari cha husika, iwe bado mpya,i siwe na tatizo lolote wala mechanical damage ya aina yoyote. Naomba kuwasilisha tafadhali. Whatsapp 0756402348
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama una bidhaa hii (Cashew Nutshell Liquid) basi naomba uniandike kwenye email yangu hapo chini. Nipe bei yako na Specification ya hiyo liquid kwani kuna jamaa kasema anaweza kuitafutia soko la...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Aina za simu zilizopo, 1. Blackberry Z10 2. Blackberry bold Q5 3. Samsung S3 4. Samsung Y (Young) 5. Sony Xperia E 6. Blackberry bold 9780 7. Blackberry 9000 8. Camera Nikon. zikiwa na kila...
2 Reactions
61 Replies
14K Views
Ninahitaji aina ya 1 LG SMARTPHONE 2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID 3. IPHONE ISIWE USED BALI IWE BRAND NEW JAMANI NINA SHIDA SANA NAYO NAWEZA NUNUA WAPI AU NIITAIPATAJE...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom