Iko in gud condition,
Used for three months.
Going cheap Tsh 290.
Iko na charger yake pamoja na earphones. Lets talk Via Whatsapp or Viber 0755118311 or 0688671212
Habari za jioni wakuu. natafuta mifuko mipya ya salfeti yenye ujazo wa debe sita na debe saba. nanunua pieces 1000 na kuendelea. bajeti yangu @ 450 per piece. nipo Arusha
Habari wadau, naomba mwenye monitor ya kowpyuta "chogo" anijulishe kwa sms ili aniuzie, nahitaji hiyo kitu. Iwe na button na iwe nzima. Nicheki 0714-408238. Nipo dsm.
Toyota Fun cargo for Sell
Price 7.5 Million but negotiable ( Bei mazungumzo )
Car-Automatic
Engine VVTI 1299
Manf. 1999
For more info. Call or Whatsapp
0712800858 / 0767820878
wadau nina hitaji la mashine ya kusaga mahindi inayotumia dizeli, je naweza kuipata kwa gharama gani?? Ikiwezekana mtu anidadavulie na specification zake maana najua lazima zitakuwepo za aina...
wadau najua muda wote biashara inaendelea.Kama kuna mtu anauza feni lkn iliyo vzri naomba anipm.
Nimeenda dukani bei imekuwa kali mno kwa feni zenye ubora.Mimi hapa nina elfu 40 tu wadau.
Habari!
jamani leo ngoja niulize hivi hizi pesa za mjerumani i mean rupia na king geogre soko lake lipo kweli?
Na kama lipo mnaweza kunisaidia lipo wapi? Maana hizi pesa nimekuwa nazo kwa muda...
Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe
SILVER,WHITE, BLACK na BROWN,Iwe na registration no.CD...mpaka CY... na kuendelea au mpya...
nauza HTC sensation hari ni used lakin iko nzuri na ina uwezo mkubwa.
sim ni HTC sensation xe with audio beat...internal memory 4gb. ina 3g..WiFi..
bei 235,000tsh....0654715457 whatsaap au sms..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.