Wakuu kwa yeyote mwenye laptop ya del yenye 2.13 double procesor ram 2gb na hhd 500 ani PM 2zungumze bei
Au laptop yeyote yenye ukubwa unaokarbiana na huo yenye hal nzur
Aksante kwa ushirikiano wako
VIWANJA VYA MAKAZI - MABWE PANDE
eneo ni kubwa sana nakata vipande 20x20 bei mil3
jirani na kota za saccos,nyuma ya shule ya msingi na hospitali ya mabwe...
Tuna agiza na kussuply Tshirts Kwa wahitaji wa mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na Rukwa. Ofisi za kampuni yetu zipo Mbeya mjini!
Tshirts hizi ni plain, made in Thailand, rangi zote za msingi...
Wadau nataka kununua kiwanja maeneo ya Chanika Msumbiji chenye ukubwa wa robo eka bila kujali kimepimwa au hakijapimwa,bajeti yangu ni Tsh 1.5 ml.Je naweza kupata?Naombeni mnijuze kama kipo...
Kina ukubwa wa mita 24 kwa 20,unaweza kupitia njia ya moshi bar au kivule unafika kiwanja kipo safi hakina mabonde wala milima hakituami maji anayehitaji ani pm,bei milioni 8
Nauza simu tajwa hapo juu kwa mwenye kuhitaji ni original sio copy. Imetumika muda mfupi tu. Naiuza 650000 niko dar napatikana kwa 0713 806 766.karibuni.
POWER BANKS FOR SALE!!
PRODUCT FEATURES:
v Portable, Affordable, User friendly, Reliable battery ensures high quality
v Operable for all brands: suitable for mobile Nokia, Motorola, HTC, Samsung...
gari tajwa ipo sokoni. haina tatizo lolote ikiwa na service history inauzwa. ipo katika hali nzuri sana . haijawahi sumbua kwa muda wote toka iwe imported . serious buyers au wanotaka kuiona kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.