Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hebu u-download huu wimbo sikiliza ujumbe na muziki ulivyopigwa halafu toa maoni yako. Huyu dada anaitwa Evelyne Gideon kwa mara ya kwanza nimeusikia wimbo habari maalum redio.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JF, mwenye gari hili naomba anicheki 0755 927881, nimepoteza simu so,natafuta no.yake!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.Shamba liko wilaya ya kibaha vijijini kijiji kiitwacho dutumi kallibu na kijiji cha madege. 2.Shamba liko kalibu na mto ruvu na gari linafika mpaka shambani. 3. Ne sehemu ya mwinuko wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa mbezi kwa msuguli dakika chache tu kutoka barabara kuu ya morogoro... bei 7M,kiwanja ni Tambalale na kipo sehemu nzuri. kwa aliye serious tu, atume sms au piga 0755 927881.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wanajamvi. Kwa wale wakazi wa Dodoma, tunatoa huduma ya usafirishaji wa mchanga, kokoto, mawe, vifusi na matofali, utaletewa sampuli uitakayo kulingana mahitaji, karibuni. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mwenye kuuza gari tajwa hapo juu nina 4.5m mwenye nayo anitumie picha niicheki Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
0 Reactions
15 Replies
6K Views
jamani naomba msaada kujua bei na ufundi wa hiyo kitu, nimevunja bahati mbaya kioo. asanten
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HP ProBook 640 , hdd 500gb, ram 4gb, core i7,spedy 2.4ghz,fingprt, HD TrueVisionwebcam,grafix ya ATI radeon of 3gb,internal modem,blue ray disc mpyaa kwenye box, Call 0719373606
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni corolla runx. At 11.5 million only. 97,000kms, 2001. Cc. 1500
0 Reactions
4 Replies
994 Views
mambo zenu wana Dada na wanawake wote kwa ujumla hapa ni mie nauza NGUO GRED 1 ZA MTUMBA KAMA VILE 1:top brauz katalogy 2:skin za kisasa 3:shifon topbrauz 4: sket ndefu charanga za rangi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta vifaranga vya samaki Sato (sijui nd'o Tilapia?!) Nahitaji wachache tu. Niko Dar. Nani anaweza kuniuzia? Kifaranga mmoja ni bei gani?
0 Reactions
31 Replies
7K Views
come from USA Bei ni TSH 55,000/= tu condition- used but in In excellent condition, in a rate of 10, it is 7 out of 10 . Brand - Samsung Model - A817 Carrier - Unlocked Touch Screen Operating...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa yeyote mwenye pikipiki tajwa hapo juu na yuko tayar kwa 1ml ni PM bt iwe imesajiliw ktk usajili unaoanzia na C Mfano T 650 CTQ
0 Reactions
9 Replies
3K Views
naomba nielimishwe kuhusu frem za milango na bei zake. kama kuna wahusika wenye frem nzuri na kwa bei poa basi tufanye mawasiliano hapa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Frem za milango na milango ya mininga zinapatikana kwa bei poa. Piga simu namba 0686469903 zipo poa sana na utafurahia thamani ya pesa yako
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Good plots for sale at goba mpakani 20/20 m au unaweza kuunganisha @ 6.8m negotiable. Any serious buyer only call 0713507487 or 0767507487 / 0782898210 For more pictures whatsup me 0713507487.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapendwa naomba mnijuze wazoefu Nina milioni tatu pia nina kakibanda kangu ka spea za magari. Je ni nini kinatakiwa nikifanye ili niwezekwenda Dubai kufunga mzigo
0 Reactions
54 Replies
13K Views
natafuta gali used aina ya noah bajeti yangu milioni tano na laki tano. iwe katika hali nzuri kama unayo ni text kwenye 075386892
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina tsh 2mil, nahitaji kiwaja Mwanza
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Natafuta soko la kuuza mayai ya kuku wa kienyeji, namanisha kuku wa asilia kabisa. Kwa sasa nazalisha trei 2 kwa siku, sijui wapi pa kuuza nisaidieni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom