Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

mutu mrefu

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
92
Reaction score
23
Habari wapendwa naomba mnijuze wazoefu Nina milioni tatu pia nina kakibanda kangu ka spea za magari. Je ni nini kinatakiwa nikifanye ili niwezekwenda Dubai kufunga mzigo
 
Tafuta passport na kata tiketi emirate airways,andaa viza ,tayari umefika dubai ,deira city
 
Hiyo ni pesa ya tiketi mkuu kama utapanda Emirates
Jipange kwanza angalau upate dolla elfu kumi nje ya tiket unaweza angalau kuanza kigumu gumu!
 
Ufupi pesa ni ndogo sana,lakini nakupongeza kwa kuwa na wazo hilo.
Na pia hongera kwamba hukujaribu,maana ungeumbuka.
Mie nakushauri subiri mpaka uwe na mtaji kama 20m.
Ili hata ukienda ujue unachukua mzigo wa Maana,maana ushindani wa soko hili ni mkubwa,kwakuwa hapa nchini pia wapo Ma Agent wa Bidhaa hizo na wao hawasafiri kabisaa,wanaletewa tu,sasa ukiangalia ghamara zako za usafiri na kodi kisha ushindane kwa mtaji mdogo sana ni tatizo pia.
Lakini wazo lako ni zuri sana.
 
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Hongera kwa kuwa na wazo zuri la biashara. Lakini ukumbuke biashara si kusafiri...
 
Habari wapendwa naomba mnijuze wazoefu Nina milioni tatu pia nina kakibanda kangu ka spea za magari. Je ni nini kinatakiwa nikifanye ili niwezekwenda Dubai kufunga mzigo

kwa pesa hiyo nakushauri anza kwa kuagiza kwanza bila wewe kwenda. Na hilo linawezekana kabisa! Ukikubali ushauri wangu sema nikupe ABC zake.
 
Mkuu hebu mwaga hizo ABC zake tuzione! Maana tuko wengi wenye mawazo ya kwenda China au Dubai kwa ajili ya kufuata biashara. Mimi nina mtaji wa 15m nje ya nauli na mambo mengine kuwa ajili ya vifaa vya ujenzi! Je, naweza kufanya hiyo biashara ya kusafiri? Kama ni kutuma wewe una uzoefu huo? Je, kama ni kutuma jamaa hawawezi kukufungia bidhaa fake?
 
Ndugu yangu mimi ni mzoefu sana na E-Business, nimekuwa nikiwashauri wana JF kwenye baadhi ya threads na wengi zaidi wamekuja inbox tukashauriana na wapo kadhaa ninawasaidia hata sasa.
Deal ipo hivi, kuna C2C na B2B online markets ambazo utakutana na product suppliers wa bidhaa za kila aina. Sasa kila supplier ana terms zake za payment, ukikuta anataka umlipe mojakwamoja ktk akaunti yake usikubali utaibiwa na/au utatumiwa bidhaa fake. Njia salama ni paypal, skrill (monebookers), Escrow/alipay.
Mfano nenda www.alibaba.com (B2B online marketplace), tafuta bidhaa unayotaka hata kontena ishirini, angalia supplier analipwa kwa njia gani, je anapokea Escrow au zingine nilizotaja? Na je vi verified supplier? Kama ndiyo basi huyo ni fanya nae biashara bila woga. Utalipa pesa na yeye atatuma mzigo kabla ya kupokea pesa, atatuma B/L kama ni mzigo mkubwa (kwa meli/ndege) au tracking number kama mzigo mdogo. Then wewe utarelease money thereafter (esp kwa meli) na kwa mzigo mdogo utarelease money after comfirming delivery.
So kwa kifupi ni hayo tu.
 
Ndugu yangu mimi ni mzoefu sana na E-Business, nimekuwa nikiwashauri wana JF kwenye baadhi ya threads na wengi zaidi wamekuja inbox tukashauriana na wapo kadhaa ninawasaidia hata sasa.
Deal ipo hivi, kuna C2C na B2B online markets ambazo utakutana na product suppliers wa bidhaa za kila aina. Sasa kila supplier ana terms zake za payment, ukikuta anataka umlipe mojakwamoja ktk akaunti yake usikubali utaibiwa na/au utatumiwa bidhaa fake. Njia salama ni paypal, skrill (monebookers), Escrow/alipay.
Mfano nenda Manufacturers, Suppliers, Exporters & Importers from the world's largest online B2B marketplace-Alibaba.com (B2B online marketplace), tafuta bidhaa unayotaka hata kontena ishirini, angalia supplier analipwa kwa njia gani, je anapokea Escrow au zingine nilizotaja? Na je vi verified supplier? Kama ndiyo basi huyo ni fanya nae biashara bila woga. Utalipa pesa na yeye atatuma mzigo kabla ya kupokea pesa, atatuma B/L kama ni mzigo mkubwa (kwa meli/ndege) au tracking number kama mzigo mdogo. Then wewe utarelease money thereafter (esp kwa meli) na kwa mzigo mdogo utarelease money after comfirming delivery.
So kwa kifupi ni hayo tu.
Asante Mkuu!!

Mkuu hapo kwenye red ni hii hii inayotaka kumletea matatizo Kafulila ya kufumuliwa makonde bunge na Bouncer Werema? Au ni kitu gani? Kwa hiyo mkuu fedha inatumwa baada ya mzigo kuwa umepakiwa kwenye meli? (Maana hii ndo njia ambayo naamini itakuwa nafuu kwa vifaa vya ujenzi) au inakuwaje? Na hiyo paypal au Werema (Escrow) inatumwaje?

Kweli mkuu una uzoefu na hiyo e-business, maana ulivyowataja Alibaba! Hawa naingia mara kwa mara kwenye mtandao wao na nimeshajisajili nao hivyo wananitumia mara kwa mara updates za current products in the market. Pia kwenye hizo products kuna hizo modes of payment (paypal, Escrow, western union-sasa sijui hii nayo kama ni salama n.k). Pole mkuu kwa maswali mengi. Ikiwezekana mkuu hebu nipe contacts zako kwenye PM ili tuendeleze mahojiano kwa simu.
 
Hahahaaa! Kwa kweli escrow na werema hata sijui imeingiaje. Ila escrow ni system ya alibaba inayotumika kama money security na ni nzuri na salama, pia wana akaunti pacha ya alipay nayo ni nzuri na salama. Paypal ni salama, moneybookers ni salama. TT na western union sio salama na usijaribu kulipa kwa supplier moja kwa moja ila kama ukilipa kwa escrow kupitia TT au WU upo salama.
Anyway nenda inbox uchukue contacts zangu tupeane uzoefu.
 
Hongera kwa wazo ila hiyo hela ni ya kununulia Juice keep it up...
 
Daah mdau wazo zuri tatizo mtaji mdogoo! jipange upya...
 
Jipange ipo siku utatimiza ndoto zako mkuu
 
Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290
 
Back
Top Bottom