Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290

mmmhhh!!
 
Mh!!! So kihivyo.
 
Hongera kwa hilo wazo la kutaka kujiajir
Mtaji huo hautoshi kwenda mkuu hko China coct za passport na visa itaisha

Be carefully na mambo ya kuambiwa connection
 
Simple and this is not a DECI mainly mtu anapokwenda kule china anatumia gharama za usafiri maladhi na muda tunachofanya tunakuconnect na hao wafanyabiashara mzigo wako utatumwa kwa DHL kasha sisi huongeza 10% ya china value kama ghalama ya management

Kwa mtaji wa mil 3,alafu mzigo utumwe kwa DHL,hiyo faida itaonekana?
 
LBG nimekuwepo Huawei project zote toka TTCL wakati steven na badaye ivan, ikauata Zantel .Nimeacha nikiwa country AMS manager inaonekana umepita hapo jina langu naitwa Menley Mgata
 
Sijaona sehemu aliposema anataka kufanya biashara ya "spear".

Spear ni mkuki. au ulimaanisha vipuri yaani spare ? Next time if you re not sure of the spelling. please consult your online dictionary. umenielewa mama ?
 
Habari wana jf wenzangu.Nina wazo la kutaka kufanya biashara nchini D.R.C kama yuko mtu mwenye uzoefu naomba anisaidie kunipa mwanga ni maeneo gani yanafaa kwa biashara na nibiashara ipi hasa naweza kufanya kule nikiwa na mtaji wa wastani.
 
na sasa tupo mbali hata kama unahitaji kitu kimoja ambacho value yake haipungui usd 100 tunakuagizia.Ili kwamba hatudanganyi katika bei tunakwenda pamoja katika links za online business za china kasha tunakubaliana bei baada ya hapo utaadi 10% na pesa ya bank charges

LAKINIWA WLE WNAOHITAJI VITU KAMA PC tablet 10.1 inch tunakuuzia moja kwaoja ,bei shilingi 435,000/= soon utaanza kleta 7inch.Kumbuka 10.1nch kariakoo zinaazia shilingi 550000

NA PIA UKITAKA KUAGIZA TUTAFANYA PROCEDURE YA KAWAIDA YA 10% KWA VALUE UTAKAYONUNULIA CHINA

Office zenu ziko wapi? Tuwekee na website tuone hizo huduma zenu.
 
Mkuu Vonty cheki na msumeno ana hints zakutosha kwani anaishi huko.
Kwako mkuu 1975 ntakutafta, nampango wa kuincrease shortterm liquidity ratio kwa kuendeleza biashara yangu ya spare parts &hardware in general.
 
Last edited by a moderator:
Spear ni mkuki. au ulimaanisha vipuri yaani spare ? Next time if you re not sure of the spelling. please consult your online dictionary. umenielewa mama ?

Ungekuwa na akili ungejua kwanini nilimuuliza hivyo na na ni kwanini niliandika "spear" na siyo spare. Hata hivyo, nimekuelewa bibi yangu.
 
Nashkuru sana mkuu kisima nitajitahidi kumcheki huyu Msumeno ili anijaze maujanja manake nataka kufahamu mengi sana.
 
Back
Top Bottom