Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

Nina mtaji wa million tatu nataka kwenda Dubai

Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290
Mhh hapo chacha.
Inaonekana mmejipanga vizuri.
Hembhu tupe website yenu na email address yenu na address ya ofisi ili kujua kweli mna ofisi au mkobani.
Maana huwezi kuwa Agent bila kujipanga na kukamilika
 
Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290

Unawakutanisha vp? Kazi yako hasa ni nini?
 
Tafuta passport na kata tiketi emirate airways,andaa viza ,tayari umefika dubai ,deira city

Umejibu sahihi kabisa! Make jamaa hajaulza je inatosha kama nilvofikiria mie!
 
Ngoja nijipange zaid basi kumbe hii ni ya tiket tu

If your not right...go left,,
 
Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290

Tuwe makini Hapa:sly:
 
Hebu fafanua kijana kidogo hapa nadhani hatujaelewa,maana wengine bado tunahisi harufu ya DECI kwa hiyo tutoe hiyo harufu
 
Simple and this is not a DECI mainly mtu anapokwenda kule china anatumia gharama za usafiri maladhi na muda tunachofanya tunakuconnect na hao wafanyabiashara mzigo wako utatumwa kwa DHL kasha sisi huongeza 10% ya china value kama ghalama ya management
 
I mean 10% ya ghalama ya kununulia mzigo China
 
okay kuna mutu kaniuliza nawaunganisha vipi ,mimi ni Mtanzania tena naishi hapa Dar nimefanya kazi Huawei kwa miaka saba hivyo nilipata connection ya wachina waliowahi kufanya kazi Huawei na sasa wana trading company.Ninaubia nao mimi na wao tunashare 10% na tiyari tumeingia contract na some retail traders hapa bongo ambao wamekuwa wananunua mzigo bei kubwa kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.Kumbuka wafanyabiashara wa kariakoo hupata more than 30% profit ya pesa waliyotumia(manunuzi,usafiri,maradhi,tra) sisi tutakuharge 10% a manunuzi tuu vingine utalipa mwenyewe nasisi hatukukkati chochote
 
kwa pesa hiyo nakushauri anza kwa kuagiza kwanza bila wewe kwenda. Na hilo linawezekana kabisa! Ukikubali ushauri wangu sema nikupe ABC zake.

mkuu tunaomba hizo ABCs maana na mimi ndio nipo njiani kuanza hio biashara ila sijajua wapi naweza tumia kuagiza yaani sehem reliable tafadhari
 
Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290

Mkuu miaka39(1975). Nitakutafuta personally. Nina ndoto ya kufungua duka la vifaa vya ujenzi, so nahisi utanisaidia mkuu miaka39(1975)!
 
na sasa tupo mbali hata kama unahitaji kitu kimoja ambacho value yake haipungui usd 100 tunakuagizia.Ili kwamba hatudanganyi katika bei tunakwenda pamoja katika links za online business za china kasha tunakubaliana bei baada ya hapo utaadi 10% na pesa ya bank charges

LAKINIWA WLE WNAOHITAJI VITU KAMA PC tablet 10.1 inch tunakuuzia moja kwaoja ,bei shilingi 435,000/= soon utaanza kleta 7inch.Kumbuka 10.1nch kariakoo zinaazia shilingi 550000

NA PIA UKITAKA KUAGIZA TUTAFANYA PROCEDURE YA KAWAIDA YA 10% KWA VALUE UTAKAYONUNULIA CHINA
 
kwa pesa hiyo nakushauri anza kwa kuagiza kwanza bila wewe kwenda. Na hilo linawezekana kabisa! Ukikubali ushauri wangu sema nikupe ABC zake.

Mkuu tunaomba ABC nami ni mmoja wao wa kutaka kutumiwa.
Nalog off
 
Umefanya kazi Huawei kwa miaka 7 ulikuwa upo project ipi? 1975
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom