Rangi kati ya dark green au dark blue hivi. Futi kumi
bei ya dukani ni tshs. 30,000/= kwa bati moja. Mimi nauza kw tshs. 25,000/= kwa bati moja.
Wahi njoo uyaone. Wasilana na no.0713 68 96 65
Land and small Go-down available for immediate sale in Arusha..Plot iko located close to Moshi-Arusha Road,eneo la M/Chai.Lina eneo la mita 90X30 pia ina nyumba ndogo ya mfanyakazi.Nyumba na...
Bb 8520 Inauzwa kwa tsh.90,000/= ina support whatsapp,BBM na kadhalika...maelewano yapo call 0689341445
=======================================
Imeuzwa
Wakuu. Seriously mwenzenu nahitaji kununua zile honi zenye mlio mkali sana, huwaga nazisikiaga sanasana kwenye magari makubwa au hata zile zitumikazo kwenye garimoshi (treni).
Wapi zinauzwa...
Wakuu tnataka laptop i5 au i7 model yeyote isipokuwa HP elite book ila zingine zote tunahitaji,
Compaq Presario cq, Toshiba, Lenovo,Asus, Mac, Hp, Dell.
pm kwa mawasiliano zaidi,
Habari zenu?
Ninahitaji kununua rimoti ya King'amuzi cha Startimes iwe iko kwenye hali nzuri na Mtungi wa gesi ya kupikia wa kilo 6.
Naomba kwa mwenye navyo aniPM.
Napatikana Arusha mjini...
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.50,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
habari wana jamvi la biashara. mie ni mjasiliamali mdogo ninaomba msaada kwenye yafuatayo
1. ukumbi wa sherehe
2. mtu wa mapambo anayepamba vizuri kwa bei nafuu
3. mtu wa chakula, kwa bei nafuu...
Wanajf hizi simu na laptop kwa bei poa,bado mpya na ni unlocked nometoka nazo UK Text or call 0717 569513.
1.Toshiba HDD 500, 4 GB Ram na 2GHz processor kwa window 7 inauzwa 550000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.