Habari wanajamii,
Napenda kuwafahamisha kwamba napangisha nyumba yangu mwenyewe ya vyumba 3, iliopo ndani ya nyumba za NHC Kibada project, Kigamboni.
Nyumba hii ni miongoni mwa nyumba...
Habar wana JF,
Baada ya kupewa knowledge ya kutosha na professional networkers,nikaamua kuanza biashara rasmi. Kumbe sio kama tunavyofikiria kuhusu network marketing na juhudi zako ndo mafanikio...
Nipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha upimwaji wa viwanja vilivyopo kimbiji sq mita moja itakua ni sh 12000..eneo lipo karibu kabisa na barabara kubwa ya kwenda mbagala,pia umeme upo...
Asanteni JF kwani jiko lilipata mteja jana, katika harakati za kupunguza vitu kabla sijasafiri kuna feni nzuri nauza. bei ni 38,000 tu,maeneo ni kigamboni
ninauza aina hiyo ya laptop ni core i3 hard disc ni 500gb ram 2gb kwa bei ya shillingi 480000 kama upo interested nicall ktk namba 0712015555 au 0768786745 napatikana maeneo ya udsm hapa mlimani!!!!!
Kiwanja ni hekari 2 na robo bei ni maelewano,Kiko karibu kabisa na oysterbay au mahakamani ni flat kizuri kwa ujenzi wa hostels za wanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Pm kwa maelezo zaidi
Sent...
nina umatemate nilioutaja hapo juu,ninataka smartphone nzuri,iwe inatumia android au windows...pia isiwe na scratches za kutisha,isiwe na tatizo lolote..iwe ni 3G.
isiwe TECNO ya haina yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.