Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza kuku (majogoo) wa kienyeji wenye uzito wa kilo 2 na kuendelea. Kuku nawafugia shambani Bagamoyo. Mwenye kuhitaji tuwasiliane. Bei elfu 15 kwa kila kuku. Tuwasiliane 0684 599 704
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF. Nauza kuku na mayai ya kienyeji kutoka Kilosa, Morogoro. Bei; jogoo tshs 12000/=, mitetea 9500/= na mayai trei 11500/= SMS 0785534575
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana - JF, ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mod wengi wamelalamika awaelewi kiswahili cha didy embu nimeamua kusikia kilio chao tuwaangalie na hili kama awaelewitena basi wasubiri braza katika kumkumbuka marehemu mamayangu mzazi nimeleta...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Contact 0715 291770
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yoyote yule anayemfahamu fundi mzuri naomba tuwasiliane kuputia no 0716-817581. Hata kama unajua ofisi ipo wapi nitashukuru. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Ninauza Gari tajwa hapo Juu ikiwa na sifa zifuatazo, Odometre; 170,000Km Fuel Type; Petrol Tramsission; Automatic Gear Engine Capacity; 2,790CC, Price; Tshs 12.5Mil (Negotiable)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Ninauza Gari Tajwa hapo Juu yenye taarifa zifuatazo, Name; TOYOTA COASTER Color; Maroon/Cream YOM; 1991 Engine Type; 1HZ Engine Capacity; 4160-CC Fuel Type; Diesel Taarifa zingine...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
compaq cq 60 Ram 1 gb hdd 250 32 procesor
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Mimi Nina kituo cha ELIMU hivyo Nina uhitaji wa walimu wenye vipaji vya ufundishaji kwa masomo ya Civics,Geography,Book keeping,Commerce,French,mathematics na Physics.Piga au tuma SMS kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mizgo bado upo pata nokia lumia 710 mpya kwa laki mbili tu..ni pm kwa biashara
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Toyota cresta inauzwa bei poa 3800000
0 Reactions
6 Replies
3K Views
In store right now, brand new and original with 24 months warranty. Call, text or WhatsApp at +255 657 113 536
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta chumba cha kupanga mwezi August mpaka October hata kama wewe ni mwanafunzi unapanga unaweza niachia wakati wa likizo nitalipa kila kitu. NB atleast km 1 toka General hospital. Pm me.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Bb 9900 tsh 150 nchk 0769888666 Wakaz wa dar! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Kama ni mwalimu, una muda na unapatikana maeneo ya Tabata niPM. Nahitaji mwl wa tution kwa kijana wa form two kwa muda wa week mbili. Masomo ni maths, physics, geo, biology na chemistry...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha thread, mahitaji Samsung tablet ya aina yoyote iliyotumika au mpya yenye 8-10 inches. Budget yangu ni 400k. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Rejea kichwa cha thread, mahitaji Samsung tablet ya aina yoyote iliyotumika au mpya ten years 8-10 inches. Budget yangu ni 400k Asanteni
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Jamani, nahitaji modem ya Airtel au Safricom. Nipo Moshi au hata kwa aliye Arusha tuwasiliane, bajeti elfu 20
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Back
Top Bottom