Nauza tablet aina ya Denver ambayo imetumika kidogo sana. Specs zake ni kama zifuatazo:
9" capacitive touch screen with resolution: 800x480
Multi touch functions
G-sensor: rotate automatically...
Habarini,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo Juu, kuna ndugu yangu anauza kiwanja chake kilichoko maeneo ya Mbutu Kichangani, kimepimwa kikiwa ni Mojawapo ya Viwanja zaidi ya 30...
Kwa wale wote waishio Dar napenda kuwa taarifu kuwa kuna nyumba yenye rum nne na seble moja pamoja na vyumba vingine viwili vilivyopo nje,ipo eneo la majohe na ina mazingira safi ya kupendeza na...
Habari zenu bandugu,
Kiwanja kinauzwa Majohe Dar
Ukubwa ni 20x20 kipo eneo la Majohe kwa warioba ,hakina hati kipo kwenye Barabara ya mtaa ,bei ni millioni 7
Contact 0656539385
Hakuna...
Sina bei kabsa wakuuu ntakupatia kwa uchakavu wa Laki tatu unusu pesa ya kitanzania(tsh 350,0000)
Nyeusi
16 GB
Nipo das es salaaam kwa mawasiliano tuonane PM ndugu mteja
Sent from my iPhone...
Eneo lnauzwa..lina ukubwa wa
robo 3 accre..
Location.. kibaha kwa mathias
3km frm morogoro road...
Eneo lipo karbu na huduma zte za
kjamii yaan umeme,maji,hospital
na zngne nyingi tu...
Hello!.
DO U WANT TO MAKE MONEY WTHOUT ENTERFERING UR DAILY ACTIVITIES?! kuna Success Busines plan dat u can do part tym n earn upto 1.2milion monthly.
QUALIFICATIONZ:-
* mtu yeyote yule abv...
Wakuu anayeuza nokia au samsung ya tochi ANIUZIE namaanisha hizi ndogo zenye uwezo wa kupiga,kupokea na kutuma sms nahitaji kwa ajili ya kuuzia vocha za kurusha.BAJETI YANGU TSHS.15000/= kama...
ni bidhaa gani ambayo hapa nchini inatoka vizuri, nna sister yupo london anataka kufanya biashara,sasa angependa kuwa akileta bidhaa kutoka nje na kuuza hapa, unashauri bidhaa gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.