Nauza lita 20 kwa shilingi 140000;ni asali nzuri ya nyuki wakubwa kama unahitaji mzigo basi tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 niko Makambako -njombe
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,
Habari wadau. Nina iuza pikipiki yangu aina ya SanLG niliyoinunua dukan septemba mwaka jana. Ipo katika hali nzuri kabisa, haijawahi pataa ajali wala injin haijaguswa. Inafaa sana hasa kwa...
Kesho saa 4 kamili asubuhi TRAVENTINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA kutakuwa na mkutano mkubwa wa mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mikononi Tanzania Unakaribishwa kwenye MKUTANO kama ww ni wakala
habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama...
Kwa wale wafanya biashara wanaohitaji kufanya biashara ya mazao hasa ya mchele wa mbeya na sembe ya Iringa wawasiliane nasi ili tuweze kuweka vizuri mipangao ya biashara. Pia wanaopenda kufuga...
Kitanda cha futi tatu na nusu kinauzwa kwa bei ya sh.30,000 tu.
KASORO ZA KITANDA.
Kimechakaa kidogo na hakina chaga moja.
MAHALI
DSM, TMK, mtaa wa Mashine ya Maji no.5, uliopo karibia na...
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu bado mpya naiuza kwasababu hii sinu nimepewa na mm sipendi aina hii ya simu kama uko powa na.0713626027 au text whatsapp.
1993 Suzuki Carry iliyoingia bongo Miezi mitano iliyopita inauzwa. Gari iko jijini Mbeya - Imeingizwa nchini ikiwa na km 52,000. Haijawahi kutumika kwa biashara, ukiacha safari ya kutoka dsm to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.