Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hello, kama kuna mtu ana chumba cha ofisi na kuna uwezekano wa kushare na mtu mwingine afunguke hapa: Ofisi iwe kuanzia shekilango hadi Africasana Ofisi isiwe bize sana kila mara Ofisi...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Pata simple but professional logo kwa ajili ya biashara yako kwa bei nafuu kabisa kwa anaehitaji logo/Nembo awasiliane nami kupitia 0718164448
0 Reactions
105 Replies
9K Views
salaam, inahitajika injini mpya ya toyota landcruiser short chassis. Naomba kusaidiwa mahali inapopatikana na bei yake. Asante kwa ushirikiano wako.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba kujua wapi naweza pata kiwanja cha mil.1 Dar. Nijenge nyumba ndogo ya vyumba 4 basi!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikuwa nafanya Biashara ya Duka la STATIONERY Dar es salaam,Baada ya kuamishwa kikazi nimeamua kufunga hii biashara na kuuza vifaa vifuatavyo;PHOTOCOPY MACHINE,COMPUTER,LAMINATION,BINDING,ID...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kina ukubwa wa Square meter2,400, bei maelewano.Kwa mawasiliano piga no 0718 908594.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina heka zaidi ya 1700 ambazo ninaweza panda mazao haya, maharage,mahindi, ufuta,alizeti,soya,tumbaku,ulezi etc. Mwaka huu nimepanda heka 120 za maharage ambayo yana mteja tayari na tume saini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari husika na kichwa cha habari hapo juu mtu anaehitaji ani PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Excellent in good condition, no scratches or any other tecnical fault. Used for only one moth till now, with its complete accessories including the driver's disc. Hdd....500gb, duo core 1.9 ghz...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Nauza gari aina ya center(mitsubish) 2wheel imetumika lkn iko kwenye hali nzuri haina tatzi lolote. bajeti m. 15 maongez yapo nitafute no 0784737427 mmiliki. Sent from my BlackBerry 9900 using...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndungu zangu, mimi ni mmiliki wa kampuni ndogo ya ya KITOHO TRANSPORTERS&GENERAL SUPPLIER, kwa sasa tunasambaza mayai katika mkoa wa Lindi, lakini tunaomba kwa mwenye uhitaji, ufahamu wa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Ipo ndani ya geti ina vyumba vitatu na sebule . Ina Tiles na ndio imepigwa rangi , No dalali. Samahani nimeleta tangazo sijaweka picha ila atakaye kua interested tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Kuna nyumba inauzwa maeneo ya mwananyamala kwa kopa,ipo kwenye eneo zuri haliingii maji na bei ni shilingi million themanini (80000000) kwa yeyote aliye tayar naomba ani pm au...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Kwa wadau wa Arusha, wapi nitapata fundi mzuri wa Gari aina ya Pajero io(GDI)? Kwa yeyote anayejua tafadhali anijuze. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada,yoyote anayefahamu nnapoweza kupata hii cable hata used.Nimeitafuta sana
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Nilikuwa nafanya biashara ya Duka la STATIONERY Dar es salaam,baada ya kuamishwa kikazi,nimeamua kufunga hii biashara na kuuza vifaa vifuatavyo; PHOTOCOPY MACHINE,COMPUTER,LAMINATION,BINDING,ID...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yoyote anayefikiria kununua King'amuzi kwa Bei CHEE, Awasiliane nami kwa PM au sms. Price: Tsh 50,000/- tu. Sold out
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UBA Wamepatoa utatuzi kwa wale waliokua wakipata tabu na manunuzi mtandaoni kwa kuleta visa card yao isiohitaju kua na account na ni card pekee iliothibitishwa na visa (verified by visa) hibyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu, Nina kobe zaidi ya 100 hapa Chanika D'Salaam, nauliza wapi nitapata wateja wa hiki kitoweo? na je wananunua kwa bei gani? mwenye taarifa walipo wateja na bei zao anijuze hapa
0 Reactions
6 Replies
5K Views
vits for sale price: 5.5m km:112,802 contact: 0716-369299
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom