Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Bei ni 750,000 tu, imesajiriwa na inatumika hapa Dar es salaam. Naiuza kwasababu nataka kubadilisha biashara kwa sasa, anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713945665.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
dell latitude e 6430, hdd 750gb, ram 8gb, core i7,spedy 3ghz,HD TrueVisionwebcam,internal modem, inch 14,light on keybord,mpyaa, bei 950 dell latitude e 6430, hdd 500gb, ram 4gb, core i5,spedy...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Nauza full set ya mziki aina ya fidek wenye mid 2,bass 2 za maana,pia una booster mbili za watts 2800 na 3200,american audio mixer,nyumark machine na vifaa vyake vengine..mziki una mwaka mmoja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa iko kibaha miembe saba imekamilika kila kitu isipokua umeme na maji,ina vyumba 3 vya kulala sebule sehemu ya kulia chakula stool na jiko ina uwanja mkubwa tu bei milioni 50 umbali...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Tunakupatia hii Power bank bora kabisa kwa TZS 70,000/= tu!..hii itakuwezesha kucharge smart phone yako ukiwa unatembea au wakati umeme umekatika..piga 0757-429-923 sasa hivi tukupatie ya kwako!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I have Dell Inspiron N5030 FOR SALE OR EXCHANGE DEALS HDD 160GB,RAM 2GB,PROCESSOR 2.38 GHZ WEBCAM+DVD RW BATTERY 1HOUR USED FOR 1 year. Located in DODOMA 0752385949
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Wakuu nina simu tajwa hapo juu naitaji simu ya kubadilishana napendelea nipate Nokia original ya Torch nyeusi Tatizo la hiyo Samsung clone ni scrach kiasi kioo na kutoa screen lock password tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
compaq presario cq60 hdd 250 Ram 1gb used 3 month 450k 0714316116 negotiate/yes
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Aje wakuu! BlackBerry yauzwa hiyo, kama utaipenda tuwasiliane nikuuziee, bei yake lak tu na mazungumzo yapo.. 0712 193159
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Wadau...back again na biashara...nauza gari yangu aina ya starlet ya silver....ipo katika hali nzuri sana na no ni bvf.....call kwa wenye uhitaji tuuu. 0652590519
0 Reactions
38 Replies
5K Views
habari ndg,natafuta touch ya HTC XL TM BEATS AUDIO,mwenye nacho nitafute kupitia 0756664797,naitaji mapema iwezekanavyo,au kama kunasehem naweza kupata basi naomba kuelekezwa wapi kinapatikana
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Kwenu Wadau, Wahenga walinena "kizuri kula na nduguyo", kwa ndugu zetu wafanya biashara hii ni habari njema kwao, international commercial bank inawakaribisha kua na uhusiano wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Bajeti yangu ni mil 5 ,je naweza kupata gari ambayo haitanisumbua wala kula mafuta sana? Sitaki kushinda garage mara kwa mara na kipato changu cha kawaida,ntakua mara nyingi naitumia huko lushoto...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau hasa kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo,kuna shamba la heka 70 lipo karibu na mto linauzwa,shamba ilo lipo katika kijiji cha Unone,wilayani Kilosa katika mkoa wa Morogoro,lipo karibu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
PLOT iko maeno ya Kongowe eneo flani linaitwa Vianzi kiwanja kina ukubwa wa 40 kwa 25 yaani ni "Two in one" flat square Bei inaanzia 4ml lakini kuna maongezi kibinadamu.Piga 0713649555 uongee na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi Mods Wapendwa naombeni ushauri, nahitaji kununua smartphone mpya ya kijafanja kwa bei isiyopungua 300,000/= na isiyozidi 400,000/=. Ila jamani isiwe Tecno, Iphone wala Blackberry, all other...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
S5 milion S4 laki 5 Tab laki 5 Gland laki 5 Zote mpya zina box na kila. Kitu na original na bei inapungua ,unahitaji wasiliana na mi,nmeshindwa kuatach picture
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza UPS Aina ya APC zilizotumika zipo 5 tu, unaweza kutumia ups hizi ili kuunda INVERTERS au AMPLIFIERS zote zina transfomer kubwa na nzuri au kwa matumizi ya kawaida kwenye kompyuta n.k...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta hiyo simu hapo juu..bajeti yangu 130.
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Bajet 150 fasta 2zue Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Back
Top Bottom