Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza smartphone hyo ya lg g2, ni mpyaaaa, imetumika siku nne tu. Iko full box na accessories zake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa kinajieleza poa jaman kma unahitaj kua wakala wa mpesa pm hapo....bei 150000 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta bajaji used aina ya TVS kwa milioni 2 (maelewano yapo), mwenye nayo anicheki pm
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana Jf! Naulizia madalali au ofisi au mahali wanaponunua laptop;simu; n.k vibovu hasa kwa mkoa wa Dar es saalam. Nina laptop naiuza pia Nina wenzangu ambao wanatafuta sehemu ya kuuza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa airtel money bei tsh.100000/=.NIKO DAR kama wahitaji nipm namba yako nitakupigia pia bei inapungua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nna Merqury natafuta mnunuzi zipo 12kg nauza 450000 kwa kg1 kwa aliye serious anitafute kwa no 0753 006368.
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Specifications D ell, HP au TOSHIBA HD 250 GB na kuendelea Iwe na webcam, kuna 4000000
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimeitumia wik 2 tu,nipe 130000 tu..nipo dar kinondon...0716242588
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nimeshindwa kuendesha laini ya M-pesa nimeamua kuiuza kwa bei ya tsh.180000/= tu!!! Maongezi yapo.kama waitaka njoo PM NIKO DAR ES SALAAM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naependa kuwashukulu sn client wng kwa kunipigia sm na kusaidiana kutatua matatizo yanawasumbu juu ya computer zenu,hvyo bas napenda tena kuwatangazi karibun kwa wale bado awajapata nafas ya...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
#kuna Nyumba ya vyumba3(1master),sebule,jiko,choo,parking,ina fence na maji yapo. Ipo tegeta kibaoni.Bei laki4.5/mwezi #kuna nyumba yenye chumba1,sebule,choo cha ndani,jiko,parking ipo.Ipo mbezi...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Architectrual drawings ink pen (7 rotring ink pen) for sale. Contacts 0717 038 035.
0 Reactions
0 Replies
819 Views
liko kibaha kongowe.ukifika pale unachukua bodaboda sh2500 unaenda mahali kunaitwa kufa kulala.hapo utakuwa umefika.ni heka 6 being no sh mil.16
0 Reactions
0 Replies
804 Views
habari wana JF. kama kuna mtu anafahamu maali wanapokodisha digital camera or video camera kwa siku naomba mnipe maelekezo. Tunaweza wasiliana kupitia namba 0798-616347. Ni kwaajili ya siku ya...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
nahitaj laptp ya kununua aina ya dell au hp bajeti yangu ni 250000
0 Reactions
1 Replies
936 Views
#Upande vyumba2,sebule,jiko,toilet, car parking #maji yapo. Bei laki4 #location magomeni makuti #0752953860 Check out>> uncledalali.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naombeni kujulishwa, je kampuni ya simu za Nokia ina tablet zake za nokia?
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Hello! Make & Model: Toyota Platz 2001, Imported: 2008 Engine:1000cc Km: 70,000 Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition. Contact :0715140247 .
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Nahitaji Nissan Civilian Body any model
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Back
Top Bottom