Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jamani m ni mwanafunzi udsm tatizo ni kwamba nina softcopy nying na hela nliyonay ni 300000 , hivo siwez pata laptop mpya nzri so kawa mtu anayejua sehemu ambay wanaokopokesh, au sehem ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba nzuri mpya inauzwa maeneo ya Tabata Kisukulu, Dar es salaam. Ina Master bedroom/bathroom, 3 other bedrooms, kitchen, dining, living, parking, maji. bei milioni 170. Wasiliana ma Eric...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye LED HD Flat Screen ,inch 32 inahitajika. Bajeti yangu 450,000/=. Napatikana Dar es Salaam. Ni PM au wasiliana ktk 0757 393623.
0 Reactions
1 Replies
855 Views
habari zena nauza line ya mpesa kwa shs 500000 karibuni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamni natafuta laptopmpya nina 300000 sasa ninaomba kujua sehemu ambayo wanaweza kunipa lakini nimalizie hela baadae nna soft copy nyingi jamani naomba mnisaide ushauri au sehemu wanazokopesha na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sim tajwa hapo juu inahitajika bajet yangu ni laki mbili lakini iwe ni mpya au haijachakaa,kama utapenda kula laki mbili hzo pm!
0 Reactions
6 Replies
954 Views
Wanabodi habari, Natafuta nyumba ya kupanga Dar es Salaam yenye specification zifuatazo; 1. Vyumba viwili vya kulala kam kuna master room ni bora. 2. Jiko, Sebule, choo n.k 3. Parking umeme na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza gari aina ya Daihatsu storia (Toyota Duet) bei ni mil 3.5. Ni manual na ulaji wake wa mafuta ni mdogo sana cc 980. For serious buyers just pm me for more details. Sent from my iPhone 4S...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Eneo lnauzwa..lina ukubwa wa robo 3 accre.. Location.. kibaha kwa mathias 3km frm morogoro road... Eneo lipo karbu na huduma zte za kjamii yaan umeme,maji,hospital na zngne nyingi tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kuna rafiki yangu anahitaji suti ya harusi taxsido,singo bata,ana laki na 80 atapata wapi kwa maeneo ya dar! Kama inapatikana na yenye quality nzuri weka namba ya simu tafadhali,sitaki PM
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado ni mpya wahi sasa at 0689341445
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mkononi Tanzania cmp mnakaribishwa kwenye MKUTANO wa mawakala wote .siku Jumamosi ktk UKUMBI wa hoteli lamada mtarifu na mwenzio
0 Reactions
0 Replies
663 Views
wakuu leo naileta kwenu Nokia x2-02 original . imetumika miezi michache. haina tatizo lolote. bei 60,000 nipo Arusha mawasiliano 0758196862
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadua habari zenu,tunauza dagaa wabichi walio kaangwa,wasio na mchanga hata tone kwa bei nafuu. 1 packt@1200; na kuanzia packt 10@1000. pia tunauza kwa kilogram, 1kg@9500,na kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye tecno M5 inahtajka kwa aliye nayo mawasiliano 0788950406 beep
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Nauza simu wadau ya tecno N7, ni white and blak kwa rangi na ina 3G na 2G network. Inatumia Android version ya 4.0 na 5MP camera na ni double line. Bei ni laki 2 mwisho 180000. Aliye interested...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna watu wengi wanapenda kulima ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi nawasaidia watu wa namna hiyo.. ni hivi unanipa laki 4 kwa ekari moja alafu mi nakupa laki 5...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani? Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa? Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka Simu ya huaweh G500 mwenye mayo tuwasiliane 0769825792
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Back
Top Bottom