Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Connies fast food as a whole business that includes the clientele, furnitures and everything in the restaurant is currently for sale. It is opposite massana hospital along side goba road. Less...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Kama utakuwa interesting,nichek tufanye biashara. Toyota noah milion 12
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Ni dawa inayotibu matatizo mengi ndani ya mwili tusaidiane katika kupata afya njema.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jamii kuna mtu alisema anauza hema hebu tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha mawakala wa huduma za pesa kwa simu za mkononi Tanzania cmp kinawalika kwenye MKUTANO utakaofanyika ktk UKUMBI wa ngorongoro lamada hoteli trh31 / 05 / 2014 saa tatu asubuhi fika tujenge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF,ni wapi hapa TZ wanauza CD Software za Acoustica Mixcraft 6?
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Vehicle Type: Compact & Small Car Price: TZS 6.5mil. Negotiable: Yes Kilometers: 131,000 Transmission: Automatic Import Duty is Paid: Yes Contacts: Location: Dar Es Salaam Tel: +255 (0)...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
habari wana JF. Kwa mtu yeyote mwenye taarifa au anayeweza kunipa taarifa juu ya fremu kwa ajili ya biashara ya m-pesa maaneo ya post au sehemu nyingine maeneo mikocheni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Wapendwa! Fashionable Black tuxedo suit inauzwa kwa bei nzuri na iko pamoja na white tuxedo shirt, red tie na red bowtie kama inavyoonekana kwenye picha, ni make ya Italy na ni size...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ipo ukonga -Mongolandege haikupauliwa kuna uwanja wa kutosha,ipo barabarani,huduma ya maji umeme upo,bei M.15 ni pm kwa mawasiliano zaidi,haina dalali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza gari yangu aina ya NIssan San ipo Arusha ni Manual ipo katika hali nzuri ndio natumia kutembelea ila kwa shida binafsi.kwa mawasiliano piga 0767 931 887 muda wowote. picha ni kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo ktk hali nzuri,ina extn keyboard with charger,bei laki tano na ishirini.Kwa muhitaji call 0713 535430/0754 535430
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Nahtaji simu tajwa hapo juu.. Z10 na s2.. Ziwe hazjachakaa kabsa,na vfaa vyake vyote.. PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninauza printer aina ya Lexmark, inayoweza kuprint, scan na copy. Pia inauzwa Monitor flat screen, LCD ambayo ni 17 inches. Zote kwa pamoja ni laki 2 na 30.......Zipo dar Mawasiliano; 0786-305664
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahitaji line ya tigo pesa mwenye nayo ani pm.
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Hallow, jamani naombeni msaada kama kunamtu anaweza kunielekeza ni wapi naweza pata suti za wadada kama nane za kukodisha, koz officini wanataka maashers wavae nguo za aina moja.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa namna ya kufanya ili kuweza kuwa wakala wa bima. Nini natakiwa kufanya, taratibu na mahitaji muhimu ni nini. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuuu nauza simu yangu aina ya huawei ascend y 220 sifa zake ni kama hivi: Android 2.3 3.5 inch HVGA full touch screen Wi-fi 802.11 b/g/n bluetooch 3.0 EDR/HS/A2DP web-browser G-sensor...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ziwe zote 2, log book, kitabu cha kusajilia line, bango nna kilo. 0787608474
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau habari zenyu....used car nissan xtrail ya 2003 inauzwa...bei 15mil...contact 0713339910 for more details and more fotos...iko ktk hali nzuri mnoo..naambatanisha baadhi tu ya picha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom