Type:toyota
Model: passo
Eng capacity:990cc
mileage:84,564
sport rims,Dvd player and comprehensive Insured
Bei negotiable...wasup au inbox numba 0717297923
Nauza kiwanja, kizuri kinafaa kwa ujenzi wa nyumba.
Huduma za kijamii kama maji,umeme,barabara zipo.
Ukubwa wake ni hatua 20 kwa 20.Bei milioni 6 inazungumzika
Anayekihitaji anaweza...
Wakuu, bei ya simu tajwa ni 240,000, na Lumia 520 ni 270. Duka lipo Kariakoo mtaa wa Msimbazi linaitwa Nokia care opposite na jengo la club ya Simba. Kama kuna sehemu nyingine wanauza bei nzuri...
Kwa aliye navyo au anafahamu mahali vilipo tuwasiliane soon @ 0762394064 Au tuma text
Bei niliyo nayo
Camera tripod 100000 tshs
Camcorder (digital) 250000 tshs
Used laptop @ 250000 tshs
Taa...
Duka lipo kinyerezi mbuyuni kama unatoka airport ni upande wa kushoto kuna fremu 17 za biashara opp na nyumba za NSSF. Ndipo pharmcy ilipo, kwa mwenye kuhitaji ani pm tuweze kupena contacts...
Wadau mwenye kuhitaji na anayeweza kuendesha biashara ya duka la dawa yaani pharmacy .Pharmacy imekamilika ww ni kufungua na kuanza kuuza ni ya kisasa, hii ni baada ya kuhamishwa kikazi nashindwa...
Kampung ya Yeke Yeke Classic-iliyopo Bethlehem kibaon Ifakara inawatangazia wakazi Wa Ifakara waje wajipatie bidhaa Kama nguo,kanga,vtenge Vya ukwee,vtambaa Vya satin,vtambaa Vya kushona,magauni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.