Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Plot nzuri yenye miguu 28/25 inauzwa bunju b iko flat na haina korongo. Maji na umeme vipo. Si mbali kutokea bagamoyo road. Price ni 5m tu. Ni plot yangu mwenyewe naiuza kutokana na uhitaji...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Wakuu nauza kiwanja changu kwa wale wenyeji wa mwanza kiwanja hiki kipo nyamadoke Buswelu. ukubwa ni upana hatua 28 na urefu ni hatua 30, bei ni mil 2 cash
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natengeneza computer za aina zote laptop na desktop matatizo ya motherboard za aina zote natibu sawala la hardware,software,website,blog,businescard napatikana banana ukonga namba ya Simi ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni nokia N9 ina screen kubwa kabisa(6cmx10cm, camera safi inayotumia flashlight, picha angavu HD , internal memory 16GB, very sensitive tourch screen, ina support program zote, haijawahi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanna jf napenda kuwashirikisha wote wenye matatizo ya kutokwenda laundi ya pili sasa dawa ipo ambayo mimi imenisaidia sana na heshima ya ndoa imekuwepo name hiyo dawa no miti shamba huyu babu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nauza iphone 3g ya 16Gb . Bei yangu final ni 180,000?=. Ni nzima haina shida yoyoyte n ni ya kwangu nimeinunua straight from U.S . Interested tuwasiliane kwa 0763969066 au shuka comment hapa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau nna sh. Laki moja na nusu natafuta line ya mpesa mwenye nayo ani pm, nipo dodoma mjini.
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Gia dupion gali mpya 0654981940 gali ndogo zipo
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KOmputa ndogo (laptop) inauzwa Chato anayehitaji tuiwasiliane kwa namba 0753627288
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Ninauza hiyo photo printer kama nilivyoandika hapo juu na kama ilivyo kwenye kwenye picha,napatikana 0768808819 ama ni pm bei nzuri tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu hii laptop ni mpya kabisa ina hd 150gb na ram ni 4gb nicheki kwa pm au pigs hii namba 0719100531
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wenzangu wa JF Kuna mashamba yanaizwa kwabei nzuri kabisa. 1) lipo mbeleya mkuranga Nikilometa kumi kutoka kongowe na nikilo meta mbili kutoka kituwo cha basi Shamba lipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HDD 160 GB, RAM 1 GB, PROCESSOR 2.1 GHz, Battery life 3+ hours, muonekano mzuri sana na ipo katika good running condition; haijawahi kuniletea tatizo Bei 350,000/=
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Compaq presario cq60
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Habari wakuu...Nina kilo na 30 Laki 1 na 30 mwenye nayo ani pm fasta tufanye biashara
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nahitaji projector iwe mpya au used nahitaji mbili
1 Reactions
4 Replies
840 Views
nAUZA HIYO USED KAMA NILIVYOANDIKA HAPO JUU NA ni yenyewe kabisa hapo mezani kama unavyoiona kwa mahitaji nipigie 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BEI 280,000Tsh imetumika mwezi mmoja tu unapata kila kitu ipo kwenye box lake. Screen Size 7inch WVGA(800*480) HD super AMOLED Processor A13 1GMHZ Touch Screen Capacitive Touch...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Back
Top Bottom