Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ina 16GB memory, 2GB RAM, 8MP camera na 4.0 android na inatumia 3G
0 Reactions
5 Replies
860 Views
Naomba msaada wenu wana jf,natafuta mkopo wa biashara kama 600,000 Tsh.Nitaupataje na masharti yao ni yapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama heading ilivyo hapo budget yangu ni 400000 Tshs iwe iko poa haina tatizo i dont care much about brand names except mchina wa ajabu mfn landrover etc. PM ukiwa tayari kwa kuuza.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza Rupia orijino kabisa nimeipata kwa babu kwa mashariti makali. Hakuna maelezo au punguzo Bei Tshs 1,000,000,000/ bilioni moja.
0 Reactions
21 Replies
6K Views
nauza simu tajwa hapo juu ni nyeupe... 330000/= nitafute niwatsaap au text me 0714533946... imetumika mwezi mmoja tuu... sababu ya kuuza ni kuwa nna nyingine
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ushauri wenu kuhusu toyota ist engine size 1290cc, kama ni gari yenye madhaifu gani? Maana ndo gari kwa kiwango changu naona itanifaa ila nahitaji ushauri wenu wakuu natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam.! Nahitaji Subwoofer iwe na sifa zifuatazo- FM Radio Uwezo wa kuplay Kwa flash disk Uwezo wa kuplay na memory card Uwezo wa kuunganishwa na vifaa vingine kama tv,computer nk Mwenye...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
wadau ni htc ipi ni nzuri kwa matumizi ya internet na applctn nzuri yenye bei nafuu.napenda kufahamu ili niachane na mchina
0 Reactions
1 Replies
1K Views
New Boxed Android Tablet Pc's, 4GB, 7" Screen Capacitive, Cortex A8, Camera + Keyboard&Screen: bei 220,000/= contacts: 0716-904626, 0767-174757, Arusha. Specifications: Brand: Allwinner A13...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau mambo vp ......wapi ninaweza kupata milango ya kichina ya nyumba kwa hapa dar....? Na inauzwa shs ngap ?....main door ni shs ngapi ? Na ya vyumbani ni shs ngap ? Shukrani wakuu
0 Reactions
1 Replies
5K Views
mwenye kujua bei yake au anayeuza anchk kwa namba 0657876646
0 Reactions
0 Replies
892 Views
karibu tuwekeze shamba ekari 27 kigamboni satelite city karibu na kiwanda cha lake cement linafaa kwa makazi ya kisasa, shule, hotel, soko la kisasa(supermarket) au kiwanda. Bei ni 350 million...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Wadau nasaka kiwanja hapa Dar kwa bajeti tajwa hapo juu. Maeneo Kigamboni,Chanika,bunju au popote ambapo nitaridhika napo. Kwa mwenye nacho naomba ani PM,akieleza eneo kilipo,ukubwa wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gali mpya aina namba silver full opsheni wasap o654981940
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Guys natoahudumaya kutengeneza logo au Nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasilianenami kupitia 0689341445
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaj laptop dell inspiron 15R series core i3, 4gb ram na hard drive at least 500gb, niPM kama unayo tufanye biashara. nipo Dar
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Kama unayo iliyo kwenye ubora pm. Pia water pump 1kw
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*Chumba master+sebure+jiko Bei laki 2/mwezi. *Pia Nyumba Vyumba 2 (1master)+jiko+sebure+parking Bei laki4/mwezi %% Sms ME 0752953860 #Imechukuliwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BEI 280,000Tsh imetumika mwezi mmoja tu unapata kila kitu
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Back
Top Bottom