Nyumba yakupanga ipo maeneo ya Kinzudi kwa Mtenga. Ina vyumba vitatu kimoja ni Masterbedroom,seetingroom,jiko,stoo,public toilet!!Pia imezungushiwa ukuta na geti zuri!!!Bei ni Laki nne Kwa...
SIMU TAJWA HAPO JUU INAUZWA..
NI NOKIA E63
INAKUBALI WHATSAPP,WE CHAT,OPERA MINI etc
Imetumika mwez m1 hvo bado mpya hata kwa kuiangalia
Picha hizo hapo chini
Ni used lakini ni kama mpya vile kwa kuiona au kwa kuitumia pia. Inauzwa laki 2 na nusu Piga sasa 0654 219172
Screen size - 15.6 in - 1366 x 768
Processor - Intel Core 2 Duo T5800 - 2 GHz
RAM - 4...
Eneo la ekari 27 linauzwa kwa bei poa lipo kigamboni kimbiji karibu na kiwanda cha lake cement linafaa kwa makazi, kiwanda, soko la kisasa au shule. karibu uwekeze eneo hili ni lulu sana. Bei ni...
Wadau,
Naitaji tisheti za mango good quality kama 300 ndio nazo hitaji. Naweza pata kwa 4500 kila moja.
Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata.
Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.
habari zenu
natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS
ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria
K,nyama au changanyikeni na maeneo...
nauza simu tajwa hapo juu .
Features:-
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, IM
BrowserWAP 2.0/xHTML, HTML, Adobe Flash Lite
RadioStereo FM radio with RDS, FM recording
GamesYes + downloadable...
M-POWER
WAKALA
ni kampuni inayo jishuhulisha na umeme wa utokanao na mwanga wa jua.Inatoa huduma ya solar za kukodisha.
Inatoa huduma hiyo kwa madaraja mawili ambayo ni>
daraja la kwanza...
Kama tangazo linavyojieleza hapo Juu,.
Kiwanja kina ukubwa wa Urefu futi 90 na Upana futi 88.
Kiwanja kinapatikana Santiago barabara ya kwenda mvuti, hakipo mbali kutoka barabara kuu ya...
Samsung galaxy s4 clone mpya umeingia,android 4.2 jelly beam,quadcore,16gb wasiliana na namba 0715444341 kuweka oda yako piece zaidi ya kumi unapata punguzo la 5%,sim mpya ziko kwenye...
nyumba nzuri self cintainer ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master, sebule, dining, jiko, choo, ipo ndani ya fence. soko maziwa kigamboni. kituoni ni mwendo wa dk 2, maji ya kutosha. bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.