Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Chalinze mjini tsh 4000sqm. Vipo karibu na huduma ya maji na umeme ukubwa ni sqm 400 hadi 1000: vipo vichache changamkia piga kwa maelekezo zaidi no. 0754395141...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na kwingineko,nimefungua duka la spare za subaru. Napatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel(zamani AM hotel) wote mnakaribishwa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo Mbeya, kwa mwenye uhitaji anipm!!
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Nipo Dar bei yake ni 160000 inatumia line zote imetumika wiki mbili tu... kama unaihitaji ni PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari jamani nauliza eti kiwanja chenye urefu wa futi 150 Na upana futi 150 Ni sawa na square meter ngapi?
0 Reactions
0 Replies
937 Views
ONLY FOR SERIOUS BUYERS: Nauza simu SAMSUNG GALAXY NOTE 3 (Device Model SM-N9005) ni MPYA Na haina tatizo lolote na haijawahi kuwa na tatizo. Ni ORIGINAL PHONE na ina Documents zake zote na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
We're IT service providers committed to helping businesses maximize their uptime while reducing IT costs, so they can focus on their day to day business. 0789776668 IT Service Provider Our IT...
0 Reactions
5 Replies
942 Views
compaq presario cq60 for sale 0714316116
0 Reactions
5 Replies
963 Views
ni simu aina ya HUAWEI ASCEND Y300, Bei TSH. 155,000 tu, Simu iko poa kabisa, inatumia lain ya tigo pekee ukinunua itabidi u unlock na jamaa wanatoa huduma ya ku unlock kwa sh 5000 tu. call...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu wenye simu tajwa hapo juu inaitajika haraka,iwe katika hari nzuri.Kama unayo PM tufanye business
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Gari hii iko Dar na iko ktk hali nzuri sana.Gari ni ya mwaka 2000 na matumizi yake yamekuwa ya hapa mjini tu. Imetembea km 106,800 na ina vibali vyote. Bei yake ni 6.8, Angalia picha zake na kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni used lakini ni kama mpya kwa kuiona au kwa kuitumia. Piga simu 0712 322012
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guyz natoa huduma ya kutengeneza logo kwa ajili ya biashara mbalimbali za wajasiriamali kwa bei nzuri kabisa ya kijasiriamali kwa anayehitaji logo/nembo awasiliame nami kupitia 0689341445
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye anayeuza bajaji used anitafute kwa namba hizi,0788843724,0715771838
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Scania 113/360 Mil 66 imelipiwa ushuru, mazungumzo yapo, Karibuni namba yangu +4915778564029, +255783250540
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wanachama na uongozi wa kituo cha ujasiriamali na mafunzo KEWOVAC wanawakaribisha watanzania wote wapendao ujasiriamali, biashara na maendeleo kwa ujumla kuhudhuria uzinduzi rasmi wa kituo siku ya...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Tecno P9 Os:android 4.2.2 Storage capacity 16 gb Sim card Black in colour Goes for 300000 For a serious buyer pm me
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Wadau nauza layers wangu wanataga kwa miezi 4 sasa..wapo 850 nauza 8000 kwa kila 1...niko morogoro lakini naweza kuwaleta popote.Nabadili biashara kwa kufuga zaidi machotara kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
pikipiki aina mpya ya fekon imewasili mjini moshi kwa bei nafuu fika makutano ya sokon road:mafuta street au wasiliana na manager masoko 0715 55 33 83
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom