Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nauza i phone 4 kwa lakin 260,000/ anayehitaj anitazame hapa 0713 806 766. Napatikana dar es salaam mji wa kibiashara.
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Laptop aina ya LENOVO. inauzwa 500gb Hard Disk 2.0 RAM 2.0 Processor. camera bluetooth screen solution iko vizuri Nipo Dodoma. kwa mawasiliano zaid piga 0765778250 au 0718651585. nimeitumia kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji tabtet hyo hapo juu,isiwe na michubuko yoyote. PM
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Nahitaji window phone used. Mwenye nayo anipm tuzungumze. Iwe katika hali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Baiskeli zinauzwa aina Avon ni mpya kabisa zina faa kubebea mizigo wasiliana nami kwa namba zifuatazo.0764438687
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa,inasifa zifuatzo:- RAM-2gb INTERNAL MEMORY-8GB BACK CAMERA-8megapixel FRONT CAMERA-2megapixel BATTERY-2400 MAH Smart scroll Smart pause Air gesture Air view Picha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samsung galaxy S3 mpya kabisa inauzwa...serious buyer ani PM tufanye mchakato
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninafuga ndege aina ya kwale na wameanza kutaga,kwa wale wanaoitaji tafadhali twende pm, bei ya trei moja (mayai 30) ni shilingi 15,000 tuu, napatikana dsm tegeta, ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raum ya mwaka 2004 11 ist ya mwaka2002 Wasap 0654981940
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ist milioni11 Raum. 11
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Waungwana Habari zenu!!! Nahitaji Chumba Cha kupanga kiwe karibu na maeneo ya mwenge maana ndo nilipo pata kazi hukoo....Chumba kiwe kizuri tiles na gypsum ikiwezekana maana nikiingiza mchepuko...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Nauza camera aina ya gopro hero 3(black edition) Ina wifi na pia ina waterproof skeleton Bei 300000 Niko arusha Contacts 0758293598
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Habarini wakuu.natafuta foloma za kutengenezea pavement brocks,mwenye kujua mahali zinakouzwa kwa hapa dar, tafadhali nijuze.Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imetumika miezi 3 tu haina tatizo lolote, black in colour ipo na kila kitu chake kuanzia box kama unavyoliona hapi hadi risiti kwa Tsh 800,000 (Laki 8 tu) NiPM, Serious buyers only.
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Habari wadau. Jamani nahitaji bajaji iliyo katika hali nzuri. Mwenye nayo ani Pm ilitufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Wana jf hasa wanawake walio na matatizo ya uzazi na waliyoibiwa waume zao kwa njia ya ushirikina sasa ufumbuzi wake umepatikana yuko baba mtaalamu ambaye anasaidia vitu Kama hivyo Hakka mwenye...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nahitaji sim tajwa hapo juu kwa budget ya laki 4. Isiwe na tatizo lolote iwe na good condition
0 Reactions
0 Replies
754 Views
jengo lenye ofisi hiyo inangaliana na chuo cha C.B.E.ndani ya ofisi hiyo kuna mgawanyiko wa sehemu 3.kuna sehemu ya choo pia na kuna maji...kwa mwezi ni sh 800, 000 taslim
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUNAZO LAPTOP ZA HP NA DELL TAFADHALI FUATA LINK HII BUSINESS LAPTOPS CENTRE TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE WEBSITE HIO HAPO JUU ASANTENI BEI NA NAMBA ZA SIMU...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
abari zenu!! Line ya Mpesa inauzwa..bei ni 150,000... mwenye uhitaji anicall kwa 0752718685 Nipo Mbeya!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom